Tigo internet mega boksi

Tigo internet mega boksi

Hachana na Propaganda kaka ....!!
Jiunge na voda night offer kwa tsh 200 tu unakamua usiku kucha speed hadi uchoke mwenyewe
Bcoz of Vodacom idiotic way of thinking, nimeamua kuhama bomba30..maana ninayelipa 30K per month napewa 20-25 kb/s lakini anaelipa 200 kwa siku anapewa hadi 400-600kb/s. Halaf ukiomba bundle weekend hupewi hadi jumatatu kama unakua na ishu muhimu kwene net na uko porini inakua imekula kwako.
 
taratibu basi kaka wataja bana speed bure
 
uko wapi ww mbona sijawai kuona hiyo speed bongo?
Du huyo jamaa kadanganya na hiyo Screen shot ya Vodacom kwani Mada inazungumzia Tigo internet Megabox na mm nikiweka hapa ya airtel kwa Modem ya zamani ya Zain tena 400mb kwa tshs 2,500/= tutafungiwa wengi
Mm nashauri ahamie Airtel tena atafute modem ya zamani halafu aichakachue ataingia Voda na hao tigo afurahi
 
Kwanza je? Simu yako ina kamata 3g(umits) nokia asha karibia zote hazina na pia samsung karibia nyinge hazina nenda kwenye network setting limit umits ukiona mnara upo jiunge ufaidi. Hatakwa modem! Unapata 2gb za kusaf na 150mb za kudownload kila siku @ 2800@wk! Unapata 50gb za kusuf na 600mb kila siku za kudownload @8500@mwezi nimetumia zote tokea mwezi wa 7 nikiwa dsm speed ni 3.5g na 3g all time speed ya ukweli ila sahivi nipo village na kamata edge ila via ucbrower kwenye cm speed iko juu ila ukiwa na pc mara nyingi edge inagoma kabisa load. sahv extreme huku ni 300 so 50mb kwangu hazifiki 12hrs kwa tigo.
 
Du huyo jamaa kadanganya na hiyo Screen shot ya Vodacom kwani Mada inazungumzia Tigo internet Megabox na mm nikiweka hapa ya airtel kwa Modem ya zamani ya Zain tena 400mb kwa tshs 2,500/= tutafungiwa wengi
Mm nashauri ahamie Airtel tena atafute modem ya zamani halafu aichakachue ataingia Voda na hao tigo afurahi
HACHA KUPAYUKA KIJANA....SOME TIME UWE UNASOMA VIZURI NYUZI ZA WENZIO SIYO UNAKURUPUKA TU!!
KAMA KWENU SPEED YA KINYONGA KIVYAKO WENZIO KUKAMUA 500KB/s MAMBO YA KAWAIDA TU
 
mmmhhhh hii ya wajanja ni mateso tu kwa sisi wapenda kulala na nzuri kwa wapenda kukesha.. ila speed yao inajitahidi balaa wengine zantel na tigo ni hatari...
 
mega box ndio yenyewe mimi nakula free internet mpaka siku tatu sometime
 
Back
Top Bottom