Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,876
- 33,300
Tangu asubuhi naingiza vocha za tigo kwa *104* napata meseji isemayo "Connection problem or invalid MMI"
Baada ya several attempts nikafanikiwa, lakini tena kujiunga na vifurushi kupitia *148*00# imekuwa shida ileile, napata meseji "Connection problem or invalid MMI"
Swali langu kwao kama wanaingia humu ni kwamba, je!! mtatufidiaje kwa adha tunayoipata mkizingatia kuwa kuna wengine wamefanikiwa kujiunga na vifurushi lakini mpaka sasa hawawezi kupiga simu wala kutuma sms kutokana na "Connection problem or invalid MMI"