connection problem or invalid mmi code

Sembeta jr

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
805
366
msaada kwa mwenye kujua hili tatizo...natumia huawei ascend y 300 natumia line ya airtel kila nikipiga simu inakata kabla hata haijakonekt na nikiuliza salio napata meseji inayosema ''..connection problem or invalid mmi code.... '' kabla ya kuitumia mimi alikua anatumia mtu wa line ya tigo na hakuwa na tatizo hili.....
 
basi labda kakuuzia zile zilizokuwa locked kwaajili ya tigo so jaribu kwanza kuweka line ya tigo uone response na baada ya hapo ndio uje na feedback kwa msaada zaidi kwa wanajamvi
 
basi labda kakuuzia zile zilizokuwa locked kwaajili ya tigo so jaribu kwanza kuweka line ya tigo uone response na baada ya hapo ndio uje na feedback kwa msaada zaidi kwa wanajamvi


kuwa locked mwanzoni sio tatizo !
Ila nadhani linaweza kuwa solved ! Na wala sio complicated sana ! Mana nimeona jamaa kwenye community flani members wame face ishu kama hiyo
 
nimejaribu kuweka line ya tigo ikafanya mambo yaleyale bt muda kidogo ikakubali nilipo weka airtel mambo ni yale yale....
 
asanteni sana nimejaribu kuisetiseti imekubali......nimeingia ktk setting...mobile network....network operator....nkachagua automatic ikakubali
 
Back
Top Bottom