Tigo imekuwaje?

Tigo imekuwaje?

Hawa jamaa washenzi eti nilikuwa natumia H+ wamenirudisha 3G iko hovyo kabisa..!
 
Hao jamaa wananipigia simu niende kwenye maduka yao nikachukue line ya 4G wakati network yao home kwangu chanika 3G sipati sasa hyo 4G ya nini
 
Nadhani Jana Walotangaza KwambA Kwanzia Saa7 Usiku Ya Jana Mpaka Saa 11 Alfajiri watakuwa na marekebisho hivyo kuna baadhi ya huduma zitakuwa HazIpatikani Sasa Kama Imezidi Hapo Ni Uhuni..
 
Back
Top Bottom