Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mkuu Kuficha Masaburi ni muhimu kaka
Maana si ajabu hiyo ni wajanja night offer
So why dont you Hideyourass ukapiga mzigo 24Hrs
DEVUQUARTER-DEVUKOTA
Last edited by a moderator:
Hapa moto chini 24/7 Kaka!!!
Mkuu Kuficha Masaburi ni muhimu kaka
Maana si ajabu hiyo ni wajanja night offer
So why dont you Hideyourass ukapiga mzigo 24Hrs
DEVUQUARTER-DEVUKOTA
Bado sana kwa Voda
Voda wanafika 1.9Mbps ukijiunga "roaming"....bila roaming utakuwa unachezea kwenye 500-950Kbps tena ukiwa WCDMA au HSDPA
Hiyo ya 4.1Mbps ya tiGo imenitisha ...kama hawajachakachua.
hahaah nimecheka na lisauti lako tu!!!!
mKUU HAPO ANAMAANISHA KWAMBA PD PROXY NI KITEGEMEZI TU HAIWEZI SIMAMA YENYEWEStand alone ndio nini???,mi naona watu wameleta screenshot za speed ya internet connection wanazotumia na mi nikaona nilete ya kwangu,kuna tatizo kwani???
nimekusoma mkuu ahsante kwa ufafanuzimKUU HAPO ANAMAANISHA KWAMBA PD PROXY NI KITEGEMEZI TU HAIWEZI SIMAMA YENYEWE
usijali mkuu,kawaida tu:clap2::clap2:Usiogope Mkuu, sina HD mic ya kurecord HD sounds, but Message imefika???
Mkuu Kuficha Masaburi ni muhimu kaka
Maana si ajabu hiyo ni wajanja night offer
So why dont you Hideyourass ukapiga mzigo 24Hrs
DEVUQUARTER-DEVUKOTA
Bac nilidhani ni tigo nyama