tiGO, hadi raha dah!

mkuu tatizo sio speed tatizo hawana bundle ya unlimited inayokuryhusu utumie kwa hio speed hadi uwachakachue

jaribu kabaang leo, hapo na share wifi na laptop, speed hadi 600kb/s
 

Attachments

  • Screenshot_2013-06-15-21-42-03.png
    Screenshot_2013-06-15-21-42-03.png
    14.6 KB · Views: 255
kwani ile bundle ya ef 25 sio unlimited? anyone?

Usijaribu kujichanganya kwenye "unlimited" internet package za tigo utajuta. Wanakulimit kwenye kiwango cha ku download,kikiisha hata hiyo browsing ni majana hiyo speed. Na utatumia hiyo speed hadi mwisho wa kifurushi, otherwise subscribe new package.
 
Tigo bwana hawaaminiki hawa...bora voda speed inaridhisha na iko wana mantain ila tigo ndo yale sometime yes somtime no
 
Hiyo ya dashboard co kitu kwa tigo inaweza soma 4mbps halaf real dowload unakuta inacheza 300-400 wakati voda ikisoma hata 2mbps speed inacheza 700-800
 
Wanajitahidi.. ila bado hawajafikia levo za Vodacom.... Niko na kitu cha unlimited cha wiki... na na wanacheza mpaka 5mbps
 
Hiyo ya dashboard co kitu kwa tigo inaweza soma 4mbps halaf real dowload unakuta inacheza 300-400 wakati voda ikisoma hata 2mbps speed inacheza 700-800

Mkuu hiyo speed ni halisi, iko hivyo kama unavyoona nashusha file na kuupdate hiyo antivirus hapo
 
Back
Top Bottom