Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Huku kwetu voda wako juu napata 700-800Kbps kwa IDM na dashboard inacheza 6MbpsHizi Speed kama zinafanana hivi Vodacom na tiGO kwa mujibu wa IDM download speed, hebu tupate na screenshot ya Aitel tufanye ulinganisho
Huku kwetu voda wako juu napata 700-800Kbps kwa IDM na dashboard inacheza 6Mbps
ngoja niiotee tena maana ni siku moja moja ndo naipataga hiyo speedkwa Airtel uko jirani na Mnara?
yaani hapo hadi rahaaa day! Tena nakula 500MB kwa Tsh 500/- hadi raha jamani
Inaelekea wewe ni mpenzi sana wa TIGO, mbona unashabikia sana!
Nani alisha fika huku??
View attachment 97994
yaani hapo hadi rahaaa day! Tena nakula 500MB kwa Tsh 500/- hadi raha jamani
Nani alisha fika huku??
View attachment 97994
Kidogo tu mkuu, hapo DK 0 bundle kushneyMbona unakimbiza hivyo mkuu? duh!!!
Dah.... Hawa voda kweli next level aisee yaani tigo pamoja na mbwemwe zao zote za 4g sijawaona bado
View attachment 98137
Hahahaa NingaR , tupe screenshot ya voda! Though tiGO wanakeraaa
Hebu tazama speed hiyo 4.1 Mbps downloading speed
unlimited guru internet ameshafika na kupitiliza hapo.....Nani alisha fika huku??
View attachment 97994
si ulisema unaishi kariakoo. au huko morroco kwa nyumba ndogo.... krapka davinoooHuku Morroco tigo wapo vizuri pia sema Airtel ndiyo Mbofu mbofu tena uwezi amini ninapoishi ni jirani kabisa na jengo lao la vioo kama safina ya Nuhu Krapka Davinoooooooo!!!!
Nyumba ndogo wapi kaka huku ndiyo makao mapya maana kariakoo tulikua na kajumba ka urithi wameshachukua waarabu sasasi ulisema unaishi kariakoo. au huko morroco kwa nyumba ndogo.... krapka davinooo