Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
- Thread starter
- #21
sikumalizia sentesi bana. Nlimaanisha kupima akili kwenye simu . Yan waseme tuma neno akili kwenda number hii uambowe una akili kiasi gani
hahaha,hyo itakuwa noma
sikumalizia sentesi bana. Nlimaanisha kupima akili kwenye simu . Yan waseme tuma neno akili kwenda number hii uambowe una akili kiasi gani
hahahaha, tigo wapo juu, ukitaka msosi unaandika neon chakula unatuma kwenda namba 12005. unabata mlo kamili.
Nimesha pima uziko niko chumbani kwa simu tu
Kweli tigo ni kiboko