OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Jamani wana jamvi,ukisikia sisi watu wa chini kufilisika ndo mwaka huu, hatimaye haya makampuni ya simu naona wameamua kutunyonya mpaka damu.
Amini usiamini sasa hv huwezi mpigia mtu aliyeko East Afrika simu bila ya huyo mtu kuwa na salio.
Hii nimeshangaa sana leo nimejaribu kumpigia ndugu yangu kwa kutumia mtandao wa voda simpati, rafiki yangu mmoja ndio akaniambia kama huyo mtu unayempigia kule simu yake haina hela huwez mpata.
Nilichofanya nikamwamishia Tsh 5000 huwezi amini ndo nikampata, lakini cha kushangaza zaidi sijamaliza hata dk 5 hela ya yule kule imekwisha nami imekwisha, nikaona haitoshi,nikajaribu tena airtel hali ni hiyohiyo, tigo hali ni hiyohiyo.
Sasa najiuliza hivi kweli tutafika kwa style hii? najiuliza kwanini hata wasikate kwa wewe unayepiga, sasa hii ya kula kw mpigaji na mpigiwa inaleta maana gani?
Hii serikali ya baba Riz imeshindwa hata kuingilia suala hili?, jamani embu nisaidieni kwa hili.