ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Msinielewe vibaya namaanisha tigo mtandao.Tigo mtandao wa simu au unamaanisha tigo gani?
Msinielewe vibaya namaanisha tigo mtandao.Tigo mtandao wa simu au unamaanisha tigo gani?
Napenda Mtandao Wa TigoUnapenda huduma ya TiGO mkuu? Samahani wewe ni mzaliwa wa Kagera kweli au una vinasaba vya pwani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu atakaeweza kunishawishi kutumia mtandao wa Tigo hajazaliwa na mimba yake ilitoka.
Mtandao gani huu sasa.
Napenda Mtandao Wa Tigo
Kazi kwako vifurushi vya chuo vya voda hivo hapo ukitaka kuna vya pindua pindua ambapo unapewa Fb, whatsapp, insta Na sms bure pia kumbuka unit 1 ni sawa na 1 ya voda pia dakika 1 ya mitandao mingine ni sawa na unit 5 kwa hiyo kile kifurushi cha 2000 kwa wiki chenye unit 1500 ni sawa na dakika 1500 za voda lakini ukizigeuza kuwa mitandao yote ni sawa na dakika 300 kwa wiki utake nn upate nn tena VODACOM SIHAMI MPAKA NAKUFA WALA NIKIWA NA LAINI YA VODA YA CHUO SIHITAJI LAINI YA MTANDAO WOWOTE TENA INANITOSHA. PIA KUNA KIFURUSHI JIPYA CHA TSH 500 KWA WIKI. ukitaka kubadilishiwa laini yako ya voda ya kawaida kuwa ya chuo hata kama wewe sio mwanachuo nitafute nikusaidie .0756695846.Mkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?
Thanks.
*149*42# ....unapata dkk 150 voda to voda ..15 mitandao yote....GB 2 wiki kwa buku jeroMkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?
Thanks.
We kama Mimi.Km upo Dar/Pwani chukua hii.
*149*03#
Nenda Dar supa Uni kisha bonyeza # ili kuendelea
2000-dk 150 (voda-voda), 50dk(mitandao yote), sms 2000 na mb 1027 kwa siku 7
Pia kwenye menu hiyo hiyo ya *149*03# utaona kijiweni hapa unapata dk 5 voda-voda free kuanzia saa 12 asb-2asub hii ni bureeeeeeee hautumii vocha.
Mm kwa 2000 wananipa GB 5 kwa mwezi.
Ila zinanisaidia sana japo huwa hazikidhi mahitaji.We kama Mimi.
....natumia tu internet sijui nilijiunga lini
PinduapinduaMkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?
Thanks.
Ngoja nimtongoze dada yake nalianaKazi kwako vifurushi vya chuo vya voda hivo hapo ukitaka kuna vya pindua pindua ambapo unapewa Fb, whatsapp, insta Na sms bure pia kumbuka unit 1 ni sawa na 1 ya voda pia dakika 1 ya mitandao mingine ni sawa na unit 5 kwa hiyo kile kifurushi cha 2000 kwa wiki chenye unit 1500 ni sawa na dakika 1500 za voda lakini ukizigeuza kuwa mitandao yote ni sawa na dakika 300 kwa wiki utake nn upate nn tena VODACOM SIHAMI MPAKA NAKUFA WALA NIKIWA NA LAINI YA VODA YA CHUO SIHITAJI LAINI YA MTANDAO WOWOTE TENA INANITOSHA. PIA KUNA KIFURUSHI JIPYA CHA TSH 500 KWA WIKI. ukitaka kubadilishiwa laini yako ya voda ya kawaida kuwa ya chuo hata kama wewe sio mwanachuo nitafute nikusaidie .0756695846. View attachment 777319View attachment 777321View attachment 777327View attachment 777332
Km upo Dar/Pwani chukua hii.
*149*03#
Nenda Dar supa Uni kisha bonyeza # ili kuendelea
2000-dk 150 (voda-voda), 50dk(mitandao yote), sms 2000 na mb 1027 kwa siku 7
Pia kwenye menu hiyo hiyo ya *149*03# utaona kijiweni hapa unapata dk 5 voda-voda free kuanzia saa 12 asb-2asub hii ni bureeeeeeee hautumii vocha.
Mm kwa 2000 wananipa GB 5 kwa mwezi.
Kazi kwako vifurushi vya chuo vya voda hivo hapo ukitaka kuna vya pindua pindua ambapo unapewa Fb, whatsapp, insta Na sms bure pia kumbuka unit 1 ni sawa na 1 ya voda pia dakika 1 ya mitandao mingine ni sawa na unit 5 kwa hiyo kile kifurushi cha 2000 kwa wiki chenye unit 1500 ni sawa na dakika 1500 za voda lakini ukizigeuza kuwa mitandao yote ni sawa na dakika 300 kwa wiki utake nn upate nn tena VODACOM SIHAMI MPAKA NAKUFA WALA NIKIWA NA LAINI YA VODA YA CHUO SIHITAJI LAINI YA MTANDAO WOWOTE TENA INANITOSHA. PIA KUNA KIFURUSHI JIPYA CHA TSH 500 KWA WIKI. ukitaka kubadilishiwa laini yako ya voda ya kawaida kuwa ya chuo hata kama wewe sio mwanachuo nitafute nikusaidie .0756695846. View attachment 777319View attachment 777321View attachment 777327View attachment 777332
Haha hahahaha this is TigoJamani tigo wanajitahidi kutuibia si haba. Kuna siku nimeweka voucher ya 2000 kwenye simu. Sina whatsapp instagram wala mtandao wowote kwenye hiyo simu. Ila kitendo cha kutoka dukani na kurudi ndani hela yote tigo wameila tena wanasema nimeitumia kwenye data.