Tigo acheni uhuni

Tigo acheni uhuni

Mwislam by choice

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2017
Posts
555
Reaction score
667
Habari wanajamvi,

Leo kifurushi changu cha SMS kimeisha nataka kujiunga sms nakuta menu ya sms siioni nawapigia Tigo care wanasema kwa wateja wa postpaid hawana huduma ya SMS tupu mpaka nijiunge na muda wa maongezi huu ni Wizi niana dakika 1786 niongeze zingine za tena.

Hebu kuweni serious, ni pesa hizi eti.
 
Siku ya jana nimejiunga internet, GB langu lote limeisha ndani ya masaa nane tu na sijaingia site nyingine yoyote mbali na jamii forums!

Vodacom ndo usiseme! TTCL iliyokuwa bora kati ya zote, wameanza wizi wa kijinga wa MB, eti Bufee, tum bafu kabisa!
 
Hawa jamaa wanatuumiza sana Kisa ufuatiliaji mdogo sana na watz wasahaulifu sana [emoji3525][emoji3525]
 
Siku ya jana nimejiunga internet, GB langu lote limeisha ndani ya masaa nane tu na sijaingia site nyingine yoyote mbali na jamii forums!

Vodacom ndo usiseme! TTCL iliyokuwa bora kati ya zote, wameanza wizi wa kijinga wa MB, eti Bufee, tum bafu kabisa!
Nenda kwenye settings ondowa 4G preferred weka 3G preferred.
 
Siku ya jana nimejiunga internet, GB langu lote limeisha ndani ya masaa nane tu na sijaingia site nyingine yoyote mbali na jamii forums!

Vodacom ndo usiseme! TTCL iliyokuwa bora kati ya zote, wameanza wizi wa kijinga wa MB, eti Bufee, tum bafu kabisa!
Punguza kuangalia X kijana
 
Huu mtandao umeshakua hovyo Yan leo ukitaka kununua Vifurushi inagoma kabisa
 
Back
Top Bottom