Tigo acheni wizi

Tigo acheni wizi

Tigo ni mafala sana, Kudadeki zao wana vifurushi vibovu kulko kawaida,,,, Basi tu...
 
tiGo wezi sana, jana nimeweka vocha ya 1000 ile kupepesa jicho tuu wakapita na 500 shwaaaah...
 
Jamani tigo niwezi sana.. Leo muda si mrefu wamenitumia SMS oh bonyeza sijui nyota na minamba yako ili kupata UNI offer na wamesema eti unapata dakika 125 na GB 1.2

Bana si nikabonyeza kutazama hicho kifurushi lol eti dakika 55 afu hakuna Gb wala nini yaan TIGO ACHENI WIZI HUO

Ps: nimeambatanisha na picha View attachment 777126View attachment 777127
Hapo ingependeza ungebonyeza 99 kurudi nyuma na kutokomea kabisaaa.
 
Rudini nyumbani kumenogaaa!

Jana nimesajili line ya TTCL.

Kifurushi cha mwezi @5,000/=
Gb 6, dk 75 mitandao yote, Ttcl - Ttcl + sms bure (unlimited).

Internet yake ni balaa!!!
Yaani ukigusa tu, tusuuu[emoji7]... lainiii, acha kabisa!
 
Mkuu hawa jamaa ni wezi sana, TCRA naomba muwamulike, mimi walichukua buku nikawapigia wakaniambia eti kuna huduma nimejiunga, nikawaambia toka ninalaini ya tigo sijawahi jiunga na huduma yote, wakaniambie basi jiondoe nikawambia niondoeni ninyi mlioniunga bila taarifa, nikakaa kama siku mbili nimeweka hela tena wakaikata mpaka ikaisha. Pili ukiwa na dharura yoyote usikope hela kwao ni wasanii ukikopa muda wa maongezi watakupa hizo dk lakini hutafika hata robo ya muda utasikia salio lako limeisha au ukikopa salio hawakupi salio ila watakutumia sms kwamba salio ulilokopa mfano tshs 2000 ,sms watakukata tshs 70, tshs 40 kwa mb1 na utarudisha 2300, nilitamani nivunje ile line kwa hasira niliyokuwa nayo
 
Rudini nyumbani kumenogaaa!

Jana nimesajili line ya TTCL.

Kifurushi cha mwezi @5,000/=
Gb 6, dk 75 mitandao yote, Ttcl - Ttcl + sms bure (unlimited).

Internet yake ni balaa!!!
Yaani ukigusa tu, tusuuu[emoji7]... lainiii, acha kabisa!
Hata vijijini inashika? Nipo pwani vijijini
Nipe vifurushi vya internet vilivyo cheap. Mm nahitaji kifurushi cha internet
 
Hata vijijini inashika? Nipo pwani vijijini
Nipe vifurushi vya internet vilivyo cheap. Mm nahitaji kifurushi cha internet
Ya huko vijijini siyajui mkuu, mi niko huku mjini.[emoji3]

Yaani asikudanganye mtu, internet laiiniii!!! [emoji7][emoji7][emoji39]
 
Hata vijijini inashika? Nipo pwani vijijini
Nipe vifurushi vya internet vilivyo cheap. Mm nahitaji kifurushi cha internet
TTCL wako maeneo ya mijini tu, vijijini bado sana nao cjui vp tu wako ki analogy sana,,, Ila ukitaka ufaidi bundles zao za internet tafuta laini ya chuo ina package moja matata inaitwa BOOM PARK ina vifurushi vizuri sana vya internet vya chuo vinavyoenda na thaman ya pesa yako... Net yao iko super fast kama ukiwa kwenye coverage ya mtandao wao...
 
TTCL kama haipo. Haisikiki hata mijini. [emoji19][emoji19]
 
TTCL wako maeneo ya mijini tu, vijijini bado sana nao cjui vp tu wako ki analogy sana,,, Ila ukitaka ufaidi bundles zao za internet tafuta laini ya chuo ina package moja matata inaitwa BOOM PARK ina vifurushi vizuri sana vya internet vya chuo vinavyoenda na thaman ya pesa yako... Net yao iko super fast kama ukiwa kwenye coverage ya mtandao wao...
Line yao ya chuo ni shilingi ngapi?
 
Line yao ya chuo ni shilingi ngapi?
Ni buku 3 tu,,Lakn niliona tangazo la TTCL wakisema kua kwa sasaivi laini zao ni bure kusajiliwa,,, Sasa sijajua kama na izo za chuo ni bure au bado bei ni ileile,, But ziko vizuri ukipata...
 
Back
Top Bottom