Tigo *149*44# => 512MB msaada tafadhali !

Tigo *149*44# => 512MB msaada tafadhali !

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
Wadau leo nimebonyeza *149*44# kwenye laini yangu ya Tigo nikakopeshwa 512MB

sasa sielewi ntatakiwa kulipa kiasi gani ili kumaliza deni ! Hili la MB

msaada please !
 
Mmmh Unakopeshwa Bila Kuhakikisha kuwa Utalipa sh Ngapi??
 
Mmmh Unakopeshwa Bila Kuhakikisha kuwa Utalipa sh Ngapi??


Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio

nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo !
 
nimejaribu kwangu pia imekubali sa sijui hiki kifurushi kinatumika ndani ya muda gani
 
life span je? Inakaa kwa muda gani?

Hivi ile *148*00# then 3-Min Kabang, then 2- Kwa week, kea bei ya 4999 hawa jamaa wameiondoa? Wameacha elfu 15 na elf9 kwa week! Hiyo hapo ni bei ghali bhana, mi siwezi kulipa hiyo wakat wenzao elf5 unapata muda wa maongez wa week na MB500!
 
Back
Top Bottom