Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

najutia kuzaliwa tanzania....naomba mungu chama cha magamba kipotee kabisa kwa kutojali watanzania wenye vipaji
 
Kama kawaida yetu....... TULIMBWAGA CHEYO.WAGANDA WAKAMCHUKUWA......... NA SASA TUMEMBWAGA TIDO.....WENGINE WAMEMCHUKUWA............... UKIONA CHA NINI WENZIO WANASEMA WATAKIPATA LINI........
hata che beni sasa hivi ni lulu kimataifa pamoja na matusi ya kila aina tuliomtukana
 
Mhando aliibadilisha sana TBC lakn watu wenye interest zao wakamwona kimeo, cjui watz 2nataka nn maana hata watalam wetu wakpngana tu na wakbwa na wakaamua kusema ukweli wanaonekana wabaya! Al th best Tido.

Hapa bongo si unajua wanataka kila saa ukiwaona ubane makalio wapite? Ukiwa na taaluma yako ya uhakika wala hupigizani kelele na mtu unachapa mwendo unawaacha wapagawe wenyewe!!!!
 
Mpaka kesi iishe asijekuwekewa zengwe akakamatwa na interpol bure
ikawa ni news ndani ya news



tido mhando ..... Kitu cha kwanza nakushauri umchukue jerry muro .... Mzee wa investigative journalism
 
Ndo ule msemo usemao; ukiona hafai.. wenzio wanamuona anafaa... sasa pole ni kwa TBC kwani inaendeshwa kisiasa wkt ni shirika la umma. Hongera Tido.. piga kazi achana na majungu ya hapa Tz.
 
Big up tido ndo mambo ya uzoefu wa kazi hayo, watabakia midomo wazi, mkuu ukumbuke huu ndo muda wa kuweka nchi yetu hapooo kwa dunia.
 
Mcheza kwao hutuzwa, kwa hiyo Tido kumbuka home na usilipize kisasi ila endeleza ukweli ule ule uliokufanya ukaondoka TBC. The fact is ulikuwa mkweli ili ukataliwe na wenye kupenda mambo ya kufunika na ukasimama kidete Mungu akapendezwa na wewe na ona amekupandisha juu kwenye kinara na sasa unawaangalia TBC wakitambaa chini. Umeinuka na umepandishwa juu na maadam unayajua mengi kama Musa ktk nyumba ya Pharao basi uliko ni hakika utakuwa Musa mkombozi wa wana wa Israel.

Mbona alipokuwa nyumbani kwao (Tanzania - TBC) hakutuzwa????
 
Sio tabia nzuri kusubiri hadi bosi awe Mtanzania ndio wabongo wafurukute waombe ajiraaa!!!!!! Watanzania jifunzeni kujiamini na kujitegemea No need of ndugunization.
 
Wakuu,'
Hii habari haina ukweli. Nimeongea na Tido mapema leo kumpa hongera. Akasema anashangaa hizi habari zimetoka wapi. Hajawasiliana na Al-jazeera na hana mpango wa kufanya kazi huko. What gives?
 
I can see by far (Du na shule zetu za Mtakuja PR hizi mnisamehe) ze grave of magamba now..Hureee Tido<BR>
 
Back
Top Bottom