Kwa ma-comedians hili ni bonge la chansi kama uko creative kuna a lot of gaffes, uongo, missteps zinazofanywa na viongozi ndani ya EA lakini hayaripotiwi. Sasa huu ni wakati, I am talking of guys with calibre of Jay Leno, Jon Stewart and Colbert. Siyo akina Masanja, I am sure this could be one of the hottest career, you earn alot while laughing hahaha ahahahah ahahah!!!!!
i can kenyans doing that....utaniambia...
Yea ndiyo maana nawakumbusha wana-JF humu, hii siyo tena level ya kina Masanja au mzee small. U could be a doctor somewhere, an engineer or a lawyer, business person, peasant etc. Wht matters ni uelewa mzuri wa mambo, some education background, ufuatiliaji wa matukio na the comic part.
Vile vile in that matter bao tulilonalo wabongo kiswahili chetu ndicho kinachokubalika kwamba ni std in all the region, lakini pia kuna local reporting. Hivyo mkenya anaweza kuwa huko hq lakini some local guys can play intheir respective countries.
wabongo wapo but watachelewa..
wakenya bana,so sharp
Yea ni kweli lakini, sema kama kuna watu tunawafahamu ni kuwashauri watengeneze clips za videos zilizotengenezwa kiufundi wa hali ya juu na kuziwakilisha kwa akina Tido hata kama tangazo la kazi hiyo halijatolewa!!!
yaa kuna mtu anaitwa evans bukuku
nimesikia anafanya stand up in english na watu wanamkubali
so labda aambiwe pia,na wengine pia...
kwa kiswahili pia anaweza
Hongera sana Tido,nmeyakubali yale maandiko...mlango moja ukifungwa mamilango kibao yanafunguliwa...chapa-kazi mkuu,ikibidi anzisha tena kipindi cha "mchakato majimboni" kama ni-vipi wazukie mwenye IGUNGA uwape-kibano cha mbwa mwizi
<br />Tido Mhando ..... kitu cha kwanza nakushauri umchukue Jerry Muro .... mzee wa investigative journalism