Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
habari kama hizi pelekeni Jukwaa la Celebrities. Huyo Thido na Siasa wapi na wapi? Toeni ulevi hapa
Ndiyo kwanza bikra!
[h=1]PanoramaBlue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!
Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!
kila kitu engarenairobi. Hongera tidoMakao makuu ya idhaa hiyo yapo wapi??
Alikupigia simu au umejuaje?Source ni mimi mwenyewe
Huku KASILIMU lini?
Al Jazeera ni TV ya waarabu WAISLAM sasa huyu tido najiuliza kasilimu lini au ndio udini mpaka AL JAZEERA?
Haihitaji kwenda shule kujua kwamba umetumwa na magamba! Hata kama ulikuwa na mpangaji kwenye nyumba ndio umtoe kwa pupa bila notisi?Hongera zake. Lakini wanaompongeza leo na kudai TBC1 sasa imekaa kimagamba ndiyo hao waliomtukana na kutishia kumuua mwandishi wa TBC1 pale viwanja vya jangwani wakidai Tido na TBC yake wanatumiwa na CCM! Hata hivyo mimi sijui kelele za Tido kuonewa zinatoka wapi kwa sababu huyu bwana alikuwa na mkataba ambao ulikuwa unaonyesha wazi mwisho wake na aliondoka baada ya mkataba huo kufika mwisho na ilikuwa ni hiari ya mwajiri wake kuendelea nae kwa kumpa mkataba mpya au kuachana naye kama ilivyotokea. Sasa hizi kelele kana kwamba amefukuzwa kazi au mkataba ake kukatizwa kabla ya muda zinatoka wapi? Tujifunze kupata facts kabla hatujaanza kushutumu mamlaka ya uteuzi kwa sababu tu tuna mapenzi na mlengwa na chuki dhidi ya utawala!
habari kama hizi pelekeni Jukwaa la Celebrities. Huyo Thido na Siasa wapi na wapi? Toeni ulevi hapa
Haihitaji kwenda shule kujua kwamba umetumwa na magamba! Hata kama ulikuwa na mpangaji kwenye nyumba ndio umtoe kwa pupa bila notisi?