Tanzania tuna majembe lakini hatupendi yafanye kazi, Mfano Sita alifanya kazi yake vizuri kama spika akawakwaza wenye nchi, Tido alifanya kazi yake vizuri akawakwaza wenye TBC. Ingekuwa inawezekana mngesikia hata Sita kaukwaa Uspika nchi nyingine maana anaumudu lakini kazi yake hairuhusu kuifanya bunge la nchi nyingine