TID ateleza Juu ya ganda la ndizi au kwenye Povu la sabuni kwenye tiles.

Haufanani kabisa bwana!! halafu hii si kucopy ni sampling bana! katika dunia hii ya muziki huwezi leo ukatengeneza tune ya mziki wa kwako tu pasipo kusample! sababu vyombo vinavyotengeneza mziki duniani ni vile vile!!!!! tone zake ni zile zile.......Ili basi usionekane umecopy au umesample basi tumia malimba, zeze, dogoli, tutulo, litungu n.k!

Nyimbo ya mzambia huyo ni ya siku nyingi na ilibamba mbaya.... iweje kama tid kafanya copy ije kujulikana leo isijulikane toka tu ilipotoka?? inamaana ilikuwa ngumu mara tu ilipotoka kiasi kwamba mpaka fbi wa earadio wachukue miezi 6 kujua ni copy!!
Jamani hii si sawa bana.
Halafu hawa mapresenta wa hizi redio biashara si wabunifu bana katika kazi zao! sasa anapokuwa na likipindi la masaa matatu na yeye hajui atafanya nini kukinogesha kipindi chake ndo wanaibuka na short kats za fulani kacopy basi tu ili mradi masaa yake 3 yaishe baaaaaaaaaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
huyo kimuziki kafa sikunyingi:hatari:

Hizi ni chuki binafsi ndo maana mnamzulia alitaka kumuua Ali kiba!!!!! Yani huwa najiuliza kibaya kipi alichowafanyia huyu bwana!!!! nashindwa mpaka leo kupata jibu!!! kwanza mlimfunga... hamkuchoka.... mara anata kumuua ali kiba!!!! sasa mmeona ngoma yake kiuno inamrudisha juu mmeanza aahh kakopy! acheni hizo bana daah!!
 
Haters baada ya mkali TID kuwakalisha wasanii wao wa kuchonga malocal katika live perfomance ya fiesta naona wanataka kumharibia legend TID!!!!TID hivi ndo anarudi kukalisha na sasa yuko mbioni kuacha ngada rasmi ili sura ya mauzo irudi na swagga za kinyamwezi tayari ku take over kama zamani!
 
Hahahaahahaha!!tuwe wakweli tu jamani TID kakopi na kupaste iyo nyimbo ata kama tunampenda kiasi gani...yani sampling hadi mashairi!!??
 
Hizi ni chuki binafsi ndo maana mnamzulia alitaka kumuua Ali kiba!!!!! Yani huwa najiuliza kibaya kipi alichowafanyia huyu bwana!!!! nashindwa mpaka leo kupata jibu!!! kwanza mlimfunga... hamkuchoka.... mara anata kumuua ali kiba!!!! sasa mmeona ngoma yake kiuno inamrudisha juu mmeanza aahh kakopy! acheni hizo bana daah!!
Kula tano mnyamwezi kwa kuliona hilo!umetisha bab!TID mnyamwezi kitambo watafail tu hawa haters!
 
Haufanani kabisa bwana!! halafu hii si kucopy ni sampling bana! katika dunia hii ya muziki huwezi leo ukatengeneza tune ya mziki wa kwako tu pasipo kusample! sababu vyombo vinavyotengeneza mziki duniani ni vile vile!!!!! tone zake ni zile zile.......Ili basi usionekane umecopy au umesample basi tumia malimba, zeze, dogoli, tutulo, litungu n.k!

Nyimbo ya mzambia huyo ni ya siku nyingi na ilibamba mbaya.... iweje kama tid kafanya copy ije kujulikana leo isijulikane toka tu ilipotoka?? inamaana ilikuwa ngumu mara tu ilipotoka kiasi kwamba mpaka fbi wa earadio wachukue miezi 6 kujua ni copy!!
Jamani hii si sawa bana.
Halafu hawa mapresenta wa hizi redio biashara si wabunifu bana katika kazi zao! sasa anapokuwa na likipindi la masaa matatu na yeye hajui atafanya nini kukinogesha kipindi chake ndo wanaibuka na short kats za fulani kacopy basi tu ili mradi masaa yake 3 yaishe baaaaaaaaaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

ngoma imefanana mdundo,melody hadi mashairi...hawezi kuchomoka hapo.labda tumpotezee kwa kumuonea huruma kwa hali yake ya life kwa sasa.
 
Hahahaahahaha!!tuwe wakweli tu jamani TID kakopi na kupaste iyo nyimbo ata kama tunampenda kiasi gani...yani sampling hadi mashairi!!??

Nakujua wewe ndo ulimtuma yule dada wa mwanza eti ajifanye katumwa na tid ili amset Kiba auwawe! so sishangai kusiliba!
Kumbe wewe ukila ugali umecopy kwa kuwa jirani yako naye anakula ugali!! akili tope hii. Haya basi kacopy! we na tid nani zaidi???

ngoma imefanana mdundo,melody hadi mashairi...hawezi kuchomoka hapo.labda tumpotezee kwa kumuonea huruma kwa hali yake ya life kwa sasa.

Yani huna hata kumbukumbu wewe! Tid ni msanii aliyesimama mwenye toka mwanzo! sasa asikopi wakati wa girl friend (Movie lenyewe alivyoicheza na sound track yake) aje kukopi leo kwa kuwa tu ninyi wachawi wake mpo!!!! kama hujui tid katokea wapi funga domo na chuki zako.

Nakujua wewe ndo ulimtuma yule dada wa mwanza eti ajifanye katumwa na tid ili amset Kiba auwawe! so sishangai kusiliba!
Kumbe wewe ukila ugali umecopy kwa kuwa jirani yako naye anakula ugali!! akili tope hii. Haya basi kacopy! we na tid nani zaidi???

chalii yangu unaongea vitu ata sivielewi sijui umepanic au vipi!!
Unanilinganisha na TID unanijua??
Ok mie sina tatizo lolote na mnyama sema nini kwenye ukweli tuongee tu..muziki hauwezi kusogea kwa style izi mazee,hii ni mara ya pili wanamshika.
 
Yani huna hata kumbukumbu wewe! Tid ni msanii aliyesimama mwenye toka mwanzo! sasa asikopi wakati wa girl friend (Movie lenyewe alivyoicheza na sound track yake) aje kukopi leo kwa kuwa tu ninyi wachawi wake mpo!!!! kama hujui tid katokea wapi funga domo na chuki zako.

nimeanza kumfahamu tid anachana so usiwe na shaka..nilikuwa naweka nilichokisikia kwenye iyo ngoma,yani sina chuki kabisa coz hanipunguzii wala kuniongezea lolote.
 
Back
Top Bottom