Wooooooooooooooooooooooooow!! finally, neno batili lilmeanza kutumiwa na akina CAG..... Shocking but promising......!!!
It sounds nice, lakini ngoja tusubiri tuone kama kweli CAG ni Professional au mwana-siasa
Batili... mkataba wenyewe au ile nyongeza waliyoifanya?
Nimeweza kuconfirm swali nililouliza alichosema CAG kuwa ni batili ni ile extension baada ya mkataba wa awali kukoma.
Mimi bado sishangilii, kwani CAG anaubavu wa kutamka kwamba mkataba ni batili? mimi nadhani ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Nadhani wabunge wamtake Waziri Mkuu atoe Tamko la Serikali kabla Bunge halijamaliza kikao kinachoendelea.
FD... hivi kuna tatizo gani kwenye suala la Mikataba? ni kweli hatuna wataalamu, viongozi wa kisiasa hawasikilizi wataalamu au kama anavyosema Nyani "ndivyo tulivyo"
FD... hivi kuna tatizo gani kwenye suala la Mikataba? ni kweli hatuna wataalamu, viongozi wa kisiasa hawasikilizi wataalamu au kama anavyosema Nyani "ndivyo tulivyo"