Sasa mkuu inakuwaje asilimia 99 ya magaidi wa kiislam wanasema wanatetea dini, na kwamba wakifa watakwenda mbinguni?
Na vipi kuhusu mistari ya kichochezi iliyoko katika quran? Mistari inayohimiza kuwakata vidole na kuwakata vichwa wale "wasioamini"!!!!?
Hawa ustadh wana visa vingi vibaya. waislaam wanapaswa kuwa na utaratibu mzuri kuwaandaa na kuajiri waalimu wa madrasa. Baadhi ya hao ustadh ni watu waovu kabisa.
Ninaomba usalama wa taifa kwa unyenyekevu na uadilifu mkubwa wachunguze kwa kina madrasa zote maana nasikia kuna ukatili mkubwa unaofanyika dhidi ya watoto wa kiume kama kuingiliwa kinyume cha maumbile. Naomba uchunguzi ufanyike kubaini hili.
Isije kuwa wamefcha jina aliyeuawa anaweza kuwa MKRISTO
waandish wa habari fuatilieni hilo kwa karibu
sidhan km angekuwa mwislam wangeshindwa kutaja hata jina moja
magaidi walaaniwe
Nenden kwa mantiki.... VIP ULE MSTARI UNAOSEMA, "......waleten hapa na wachinjwe mbele yangu...."
Analieni mambo kwa macho mawili.. MNAJUA TATIZO NI NINI????????
Kama MAPADRI wanasomeshwa miaka kadhaa na bado WANALAWITI, MASHOGA NA BAADHI WASHAOLEWA NA VIDUME WENZAO..... elimu gan wapewe hawa viongoz wa dini zetu....
mi naona this is Personal matter not Religional matter