Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

Vip upatukanaji wa Habbat sawdaa hapa tanzania
 
mzizimkavu shikamoo baba, naombaunisaidie hili, unga wa udishe kwa jina mbadala unaitwaje, nimeulizia sana ila maduka ya dawa za mitishamba wauzaji hawaujui
 

Nimejifunza kitu kikubwa sana na nitapunguza matatizo yangu ya kiafya kwa urahisi kabisa mkuu.Ninashukuru sana kwa taarifa hii nzuri.
 
wakuu nimekunywa chai ya mdarasini nimechanganya na vijiko 2 vya asali kama lisaa limoja hivi
sasa hivi nimemeza tena vituu swaumu kama vipunje kumi hivi
bac domo lote limechafuka
utaratibu huu ndo nimeuanza leo
 
Kwa wazungu kuna Ultra Sound, Echo, X-ray nk.
Kwa waswahili kuna Ramli. Zote ni sayansi.
Kwa wazungu kuna drones kwa waswahili kuna nyungo. Zote sayansi.
Wazungu wanasambaza mvua kwa kutumia chemikali na sisi kwa wafipa wanaleta mvua ya radi zote ni sayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…