Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

Wife to a king

Wife to a king

Member
10
45
Nitafute Kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Mzizi naomba kujua dawa ya chango kwa wanaume,,mume wangu analo chango and inamsababishia anakosa nguvu za kiume na anakuwa na low sperm count
 
Hanitoni

Hanitoni

JF-Expert Member
1,149
2,000
wakuu nimekunywa chai ya mdarasini nimechanganya na vijiko 2 vya asali kama lisaa limoja hivi
sasa hivi nimemeza tena vituu swaumu kama vipunje kumi hivi
bac domo lote limechafuka
utaratibu huu ndo nimeuanza leo
Daah safi sana. Hilo bomu ni nomaa mzee
 
Gwakukahja

Gwakukahja

JF-Expert Member
1,002
2,000
Mimea / dawa zinazoongeza nguvu za kiume kwa upande wa miti shamba ni mingi mnoo ikiwemo:-
1: Udishe
2: Lub'ungwa
3: Kisenganyika
4: Mwatya
5: Mkolomije...
Na mimea mingine ipo mingi sanaaa
Inapatikanaje hiyo
 
Gilbert wa tarakea.

Gilbert wa tarakea.

Senior Member
175
225
BABU YANGU ALIKUFA AKIWA NA MIAKA 127 KWA SABABU YA KUPENDA ASALI. ALIKUWA MPENZI WA KUNYWA MBEGE NA KILA MARA LAZIMA ACHANGANYE ASALI KWENYE MBEGE.
 
M

MRS JUMA

Member
11
45
JAMAN NAOMBA KUULIZA MTOTO KUKAKAMAZA MIGUU KWA SEKUNDE CHACHE NA KUACHA SHIDA INAKUWA NI NINI? MAANA HOSPITAL ALIPEWA DAWA ZA DEGEDEGE CARBAMAZEPINE MWEZI MZMA LAKN IYO HALI HAIISHI
 
M

MRS JUMA

Member
11
45
JE, hi habatsouda unaweza kutumia wakati unameza dawa za hospitali?
 
Dotto kyangwe

Dotto kyangwe

New Member
1
20
Jman naomba kuuliza swali na nisaidiwe kma itawezekana dawa ya kutumia atumie mdogo wangu anatatizo Kwenye ngozi Sasa Lina kma miezi miwili upande wa kushoto usoni Kwenye shavu pamebabuka vile yaan panakuwa na vidoa doa vyeupe na si viupele Wala hata haviwashi na dawa ametumia za hospitalin lakn hazmusaidii.
 
tumusimeuwimana

tumusimeuwimana

Member
17
45
Doctor, naomba ushauri na tiba kuhusu ili tatizo la kuwaka moto tumboni
Wakati mwingine Nahisi baridi na Baadae joto alafu tumboni utafikiri kumepakawa pilipili,
Nifanyeje Doctor?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics


Threads
1,424,560

Messages
35,066,854

Members
538,021
Top Bottom