Tiba India/afyaindia@yahoo.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba India/afyaindia@yahoo.com

Discussion in 'Matangazo madogo' started by rakeyescarl, Jul 15, 2011.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [h=2]Tiba India/afyaindia@yahoo.com[/h]
  Wana JF,Natanguliza salaam na Heshima mbele,

  Baada ya kupata habari na kupata ushuhuda wa watu wanaotoka kupata tiba India iwe kwa msaada wa serikali au kwa kujigharimia nimeonelea niwasaidie wa Tanzania kwa kadri nitakavyoweza kutoa habari zozote zinazohitajika kuanzia stage ya kwanza mpaka utafikaje India,utatibiwa wapi na utatibiwa na nani na wapi utaishi vipi,utakula wapi na maswali yote unayoweza kujiuliza.
  Lakini kama mfano tu wa unachoweza kujua ni kwa mfano huwezi kuamini lakini ndio ilivyo si wagonjwa wote wanaokwenda kutibiwa India wanakuwa wana maradhi waliyoambiwa nyumbani na usishangae ukajiona una nguvu unatembea ukafikiri ni mzima,yote yanawezekana na kwa muda mfupi na gharama nafuu.
  Tutakupa habari hizi bure na wewe upime-uliza chochote na kitakachotushinda tutakutafutia habari hizo.
  Ujumbe:
  AFYA NI BORA KULIKO KUWA NA NYUMBA,GARI,KIWANJA AU MIPESA IKAJA KULIWA NA AMBAO HUKUSAIDIANA NAO KUZITAFUTA. PIMA AFYA YAKO NA IHAKIKI KILA MARA UWEZAPO!


  TUMA EMAIL Kwa afyaindia@yahoo.com
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,927
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  good spirit.,!!
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mbona umeficha mfano wa magonjwa ambayo yanatibiwa huko. Tuambie baadhi kaka
  Asante
   
 4. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mvumilivu Wangu, labda uneniambia ni yapi yanayokusumbua, lakini mimi niliyoona ni mengi lakini la kushangaza inaelekea kuna watu wanawaharibia ma Dr.wa TZ sifa,siamini kama Dr.au Med.Asst anaweza kufanya diagn. na kumueleza mgonjwa kuwa kooni una cancer kumbe kwenda kuangaliwa akakutwa ni fungus,lakini pia kuna magonjwa mengi ambayo yako related na cancer na pia hata surgery e.g brain and spine surgery,head and neck tumor surgery,achilia mbali vitu kama prostate and breast cancer.
  Kwa kifupi pamoja na ujuzi lakini wana adv.ya wewe kupata nafasi ya kuchunguzwa kwa vifaa ambavyo sisi bado hatujavipata na kwa gharama nafuu e.g PET -CT scan na vinginevyo,kama kuna gonjwa nililolificha niulize nitakueleza,
  All the best.
  GD.
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante. Nimekuelewa kaka. Je unaweza kunipa private email yako au ni ile ile uliyotoa niwasiliane na wewe?
   
 6. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  kuna watu wengi wanafanya shughuli hizi. Clinic yangu ya kibingwa kwa magonjwa ya ndani (Internal Medicine) na watoto ina ushirikiano na hospitali kadhaa nchini Israel, ambapo unapata huduma za uhakika, bei nafuu na kwa ubora mkubwa kuliko kwenda India. Kwa habari za matibabu yoyote yahitajiyo kwenda ng'ambo nitumie email kwenye anwani hii: ozzanne.clinic@muhas.ac.tz.
  Sihitaji kulipia tangazo, maana nasaidia jamii.
   
 7. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Asante ndg Ozzie,
  Tunashukuru nakutumia email lakini habari hizi mbona zinakuwaga kama siri?Just imagine, watu hatujui tunakwenda India kumbe huku gharama ni nafuu. Nina imani umejumlisha na gharama ya ndege na living expenses ndio ukaja na usemi huu kwenye red. Maana ikiwa nafuu kuliko India inakribia gharama ya TZ-mungu akubariki.NINAKUSHUKURU!

   
Loading...