Tiba India/afyaindia@yahoo.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba India/afyaindia@yahoo.com

Discussion in 'JF Doctor' started by rakeyescarl, Jul 13, 2011.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana JF,Natanguliza salaam na Heshima mbele,

  Baada ya kupata habari na kupata ushuhuda wa watu wanaotoka kupata tiba India iwe kwa msaada wa serikali au kwa kujigharimia nimeonelea niwasaidie wa Tanzania kwa kadri nitakavyoweza kutoa habari zozote zinazohitajika kuanzia stage ya kwanza mpaka utafikaje India,utatibiwa wapi na utatibiwa na nani na wapi utaishi vipi,utakula wapi na maswali yote unayoweza kujiuliza.
  Lakini kama mfano tu wa unachoweza kujua ni kwa mfano huwezi kuamini lakini ndio ilivyo si wagonjwa wote wanaokwenda kutibiwa India wanakuwa wana maradhi waliyoambiwa nyumbani na usishangae ukajiona una nguvu unatembea ukafikiri ni mzima,yote yanawezekana na kwa muda mfupi na gharama nafuu.
  Tutakupa habari hizi bure na wewe upime-uliza chochote na kitakachotushinda tutakutafutia habari hizo.
  Ujumbe:
  AFYA NI BORA KULIKO KUWA NA NYUMBA,GARI,KIWANJA AU MIPESA IKAJA KULIWA NA AMBAO HUKUSAIDIANA NAO KUZITAFUTA. PIMA AFYA YAKO NA IHAKIKI KILA MARA UWEZAPO!


  TUMA EMAIL Kwa afyaindia@yahoo.com
   
Loading...