SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Kwa nini nyumba za waganga wengi ni mbavu za mbwa zilizochokachoka?Hela za uganga wanapeleka wapi?
Kwa nini nyumba za waganga wengi ni mbavu za mbwa zilizochokachoka?Hela za uganga wanapeleka wapi?
Hawana tofauti na wale wenye utajiri wa masharti...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]No watumwa wa nguvu zilizo juu ya uwezo wao