Tiba hiyo hapo

Tiba hiyo hapo

Na zongo la chakula hakiivi na kikiiva hakina Ladha kabisa hasa nyama
hii hasa shughulini kama msibani au harusini, akina mama wanapenda saana hii kukomoana, nilikua nawaona wakina mama wanatupia chumvi kwenye kuni kabla hawajaanza kupika madai yao wanajikinga na kijicho...
 
Nataka nimpige Zongo Magufuli asije huku ofisini kwetu kutumbua majipu.
 
Uchawi wa kisambaa huwekwa machoni mwa mrogaji akikuangalia tu au akiangalia unachokula tayari umenasa utaumwa tumbo mwanzo mwisho
Tiba ya ni fagio inaitwa kuhumputa yani kupepewa na ufagio usoni na tumboni
mm nafahamu tiba ni kutabana yaani KUTABANA ZONGO ndio kuondoan zongo
 
Nataka nimpige Zongo Magufuli asije huku ofisini kwetu kutumbua majipu.
iyo kitu kuna kitu inaitwa shakirizi yan ukimpiga mtu shakirizi huyo mtu anauhama mji anakwenda mbal na hataka arudi tena ktk huo mji asilani..........SHAKIRIZI
 
iyo kitu kuna kitu inaitwa shakirizi yan ukimpiga mtu shakirizi huyo mtu anauhama mji anakwenda mbal na hataka arudi tena ktk huo mji asilani..........SHAKIRIZI
Hicho ni kiswahili kisambaa n shakiizi
 
iyo kitu kuna kitu inaitwa shakirizi yan ukimpiga mtu shakirizi huyo mtu anauhama mji anakwenda mbal na hataka arudi tena ktk huo mji asilani..........SHAKIRIZI


Sasa ukimpiga Magu hiyo kitu si atahama nchi? Wewe unatafuta ugomvi na wanainji.
 
Mbona hamuongelei na ''Kisimo'' ukipigwa hicho hata ufanyeje huwezi kufanikiwa! wewe utakua ni wa mikosi tu!
 
Tumbo linauma, linajaa gesi, huendi choo, hujisikii kula, wakati mwingine kuharisha kunakuwepo, wanasema ukinywa maji ya magadi inasaidia na wale wenye imani za kihivyo ndo huwa wana fagia tumbo. Ajabu kuna watu wanamacho ya zongo lakini wenyewe hawajui.
Zongo pia huitwa Kijicho. Hata asiyekuwa mchawi akikuangalia vibaya unaweza kudhurika kama huna kinga ya Mwenyezi MUNGU. Nilikaa sambaani kama mwakabmmoja hivi, wale watu ni wataalam wa mazongo! Usile kitu hadharani, unalo!!!!! Kuna jamaa alipatwa zongo duuuuu, Sina hamu na ile kitu maana aliteseka usiku kucha anatapika mayai viza.
 
Back
Top Bottom