Thread zilizobamba mwezi August MMU

Ya Leo itabidi ulete Uzi wenye security code for modes only.....kila wakiidelete waambiwe access denied hahaha

Yan adi natamani niwasute wao hao mods wamefuta nyuz zangu zaid hata ya tano walahii
 
but hizi simu zinaumiza akili sana,unaweza kuchuniana na mpenzi wako hamwongei hata week unadhani mko busy,siku mkionana unakuta anachat vizuri na watu,tena sasa hivi mpaka internet akosee amesahau kulog out fb,yani tabu tu,kwanza mwingine ameweka password kwenye simu,ukiwa naye ukishika simu anachanganyikiwa
 
kama kuna kitu sijawahi elewa ni jinsi gani simu inawakosanisha, labda mwanzoni mwa mahusiano.kidooogo ntaelewa.

 
Apo atakua anaangaika ku logout na acount yake nyingine ili aje a login na kijanamtanashati tunakusubir pc haina mtandao nn uko uliko cc princess sayuni
 
Last edited by a moderator:
kama kuna kitu sijawahi elewa ni jinsi gani simu inawakosanisha, labda mwanzoni mwa mahusiano.kidooogo ntaelewa.
hata kama si mwanzo wa mahusiano,unakuta mnongea mambo ya maana yanahitaji attention msikilizane,ila utakuta yeye na simu kashangia internet ana-broswe,kama hujamshtukia uongea mwenyewe ye anaitikia tu eeeh,eeeh ikawaje,...ukitaka kumshtusha mpenzi wako shika simu yake na usimwambie lolote tulia tu utaona atakosaje amani,au angalia hata phonebook yake
 
mtvbase embu njoo pande hizo ucje ukakosa mambo lol
 
Last edited by a moderator:
Poleni, bora kurudi kwenye landlines tu.

 
hili jukwaa limekuwa la mipasho bora hata traventine jumapili usiku nitajua ni jahazi wanapiga kuliko humu
shennzzzyyy kabisa kwa waimba taarabu wa jukwaa hili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…