CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kuna ambazo zilibamba kupita kiasi, ILA mods walizibambia....
Si wana mlinda yule mbea ila cha moto alishakiona
may the war begin...
Nasubira yule aliyekua mbali na laptop asogee karibu na laptop alete ushahidi pengine hiyo thread yake yaweza kuwa tamu zaidi,
kuna kile kitu cha jana ni moto wa kuotea mbali kingekuwa kimeachwa hadi leo koment zingekuwa zimeshafika laki moja
Kuna ambazo zilibamba kupita kiasi, ILA mods walizibambia....
Nasubira yule aliyekua mbali na laptop asogee karibu na laptop alete ushahidi pengine hiyo thread yake yaweza kuwa tamu zaidi,
Nasubira yule aliyekua mbali na laptop asogee karibu na laptop alete ushahidi pengine hiyo thread yake yaweza kuwa tamu zaidi,
Mods wana wivu balaa.... Ngoja kuna siku nitawafuata huko kwenye server zao watajutraaaaa kuniregister!!
Ya Leo itabidi ulete Uzi wenye security code for modes only.....kila wakiidelete waambiwe access denied hahahaUnazan ana lolote tena anajifanya kuja kwa pm yang na ids mpya ili nmjib apate chakuleta apa hana uthibitishooi na leo namsubir kwa hamu tena nahic leo ban inanihusu maana atajutr
Ya Leo itabidi ulete Uzi wenye security code for modes only.....kila wakiidelete waambiwe access denied hahaha
simu zetu ina siri nzito,yani thread inayonigusa