Umenuna tena?? Nini cha mno?? Ndio nadhibitisha maneno ya Mtambuzi... Wanaume wa kweli huwa hawanuni na sio kutumia dume ( samahani lakn ashakum si matusi)

Hehe mkuu.nnapozidi kwenda chini Naona thread imepoteza muelekeo... Maswala ya kuyamaliza pm ... Yanajaa kwenye uzi...
Jf ya kizazi cha chit chat ... Imepoteza muelekeo