Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,619
- 8,291
Hivi karibuni Mkuu mmoja aitwaye Pasco alileta thread kuhusu kusumbuliwa Na Makufuli..
Katika ufafanuzi wake kwenye posti zilizoendelea kujadili thread (Uzi) huo, Pasco alifafanua kuwa kufuli ni chupi.
Na kwa ufafanuzi huo, nikizingatia uwezo Na grade ya mkuu Pasco ninalitumia Neno hilo kuuliza: Kama thread(Uzi) umewekwa lebo ya chupi ( kufuli) ina maana gani?
Cc Wakongwe
From Kapuku