Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,137
Mtu mmbea utamjua tu...mdomo unakuwa mweusiii! Jiwe Linaloishi nimekukosea nini lakini?
aahhh mbona umenitusi hivyo? mi na wewe tuna kesi ya kuzungumza ngoja nirudi nikualike kwenye meeting ya kahawa tuyamalize
Jaman nimeambiwa thread ya kuchakachua. jana tulikunywa maziwa aisee
Jiwe hyo ya umbea haikuhusu wewe! Nasubiri tu hiyo rendevuu!
Mtu mmbea utamjua tu...mdomo unakuwa mweusiii! Jiwe Linaloishi nimekukosea nini lakini?
Basi bwana alivyofika si nilimkaribisha.... weeeeee nilikuta kumkaribisha, wacha aanze kunywa soda.mpaka zikafika nane almanusura amalize kreti kha.... sina hamu mie!!!!
Asprin toka afumwe akikata mauno na Madame b kwenye wait pati siku hizi anaona aibu kuja humu jamvini.
mie jambo kabisa!!! hofu kwakoooo..........
yani lazima ucheke..........sasa ungemuona huyo babu odm alivyokuwa katepeta...........heheheheeeeee
aahhh mbona umenitusi hivyo? mi na wewe tuna kesi ya kuzungumza ngoja nirudi nikualike kwenye meeting ya kahawa tuyamalize
Jiwe Linaloishi.. ninarudia tena.. View attachment 90929ahhh hapo sawa subira yavuta heri usitie shaka mi siyo kama babu Mtambuzi na mitego yake ya kahawa
Arushaone huyu ninamtafutia kesi.. nawaciliana na FBI.. wale vijana waliolipua bomu Boston wana accomplice wao hapa.. nafikiria kumlengesha Jiwe Linaloishi..