Mimi hapa ndio panihusu....Ndio najiandaa kuingia shifti ya usiku leo. Nimemwacha mke wangu Cantalisia analea. Nimempa ban ya kuingia JF kwa kipindi hiki...wadau nipo tu sasa napumzika hivyo natafuta thread yoyte ya mtu niichakachue bila kupewa BAN,
tena kabla sijafika mbali nashukuru sana bodi kwa kutusaidia kujua pia serengeti boys tulio nao hapa..... au madam FF alishtukia mapema ndio maana akakimbia? wapi ako Rejao? na dada Cantalisia? shushushu wa chitchat Preta tunaomba list mpya ya kapo za chitchat.... halafu udaku editor Bishanga? toleo la mwisho lilitoka lini? Erickb52 una tabia kama makabila ya pwani japo hutokei huko!! wao kila siku sherehe tuuu!!! kuna kijana alikuwa anaitwa The Finest kuna mtu kamuibia modem yake? na yule kijana al maarufu kama babu japo usijeshangaa ukakutana naye mazingira ambayo hutarajii anaitwa Asprin.... leo uko wapi? sweetlady utuletee basi utabiri wa hali ya hewa kwa Arusha... poleni kwa kuvunjiwa NMC..... pakajimy after NMC what follows? Bujibuji kazi zinakwenda? kwa wale wa serikalini jamani muda wetu saa tisa na nusu umepita zamani tuu na wale wa private naona ka muda kenu kamekaribia na kwa walinzi now ni saa 12 asubuhi......
mpo?
Mimi hapa ndio panihusu....Ndio najiandaa kuingia shifti ya usiku leo. Nimemwacha mke wangu Cantalisia analea. Nimempa ban ya kuingia JF kwa kipindi hiki...
Aisee hapo sikubaliani na wewe kabisa. like yangu naihitaji!! Nimeshai recognize tayari!! Mwanetu hatutaki kumpandikiza genes za JF mapema yote hii, ndio maana nimeona mama watoto apumzike kwanza!!bro Rejao nilitaka nikutupia ka- like lakini kwa suala la kumpa ban dada yangu Cantalisia nimeahirisha kukupa like.... usisahau koti la mvua hazitabiriki sana siku hizi... bai ze way habari kaka?
wadau nipo tu sasa napumzika hivyo natafuta thread yoyte ya mtu niichakachue bila kupewa BAN,
tena kabla sijafika mbali nashukuru sana bodi kwa kutusaidia kujua pia serengeti boys tulio nao hapa..... au madam FF alishtukia mapema ndio maana akakimbia? wapi ako Rejao? na dada Cantalisia? shushushu wa chitchat Preta tunaomba list mpya ya kapo za chitchat.... halafu udaku editor Bishanga? toleo la mwisho lilitoka lini? Erickb52 una tabia kama makabila ya pwani japo hutokei huko!! wao kila siku sherehe tuuu!!! kuna kijana alikuwa anaitwa The Finest kuna mtu kamuibia modem yake? na yule kijana al maarufu kama babu japo usijeshangaa ukakutana naye mazingira ambayo hutarajii anaitwa Asprin.... leo uko wapi? sweetlady utuletee basi utabiri wa hali ya hewa kwa Arusha... poleni kwa kuvunjiwa NMC..... pakajimy after NMC what follows? Bujibuji kazi zinakwenda? kwa wale wa serikalini jamani muda wetu saa tisa na nusu umepita zamani tuu na wale wa private naona ka muda kenu kamekaribia na kwa walinzi now ni saa 12 asubuhi......
mpo?
Nasikia wamepigwa tatu bila.Yanga washapigwa goli moja huko Jamhuri...
Nasikia wamepigwa tatu bila.
Arusha hali ya hewa kwa sasa ni nzuri hivyo twawakaribisha wote wanaopenda joto....ila wale wenye aleji na vumbi wasithubutu kujileta huku!
Huyo kijana aitwae The Finest hajaibiwa modem ila alikuwa anatumia lap top ya jirani yake .....sasa bahati mbaya yule jirani kahama!
hayakuhuu!Yanga washapigwa goli moja huko Jamhuri...
charminglady hivi upumzika wa wkend hii?
Sijakuelewa mkuu... au hangover ya jana bado haijaisha??
Arusha hali ya hewa kwa sasa ni nzuri hivyo twawakaribisha wote wanaopenda joto....ila wale wenye aleji na vumbi wasithubutu kujileta huku!
Huyo kijana aitwae The Finest hajaibiwa modem ila alikuwa anatumia lap top ya jirani yake .....sasa bahati mbaya yule jirani kahama!
aahh kumbe upo mi nimenogewa na huu ubaridi wa arachuga bado nipo nipo sana