Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

solution si kuitoa ccm madarakani
 
Attachments

  • uvccm_wakipigana.jpg
    uvccm_wakipigana.jpg
    17.7 KB · Views: 42
Nyimbo umefanya kazi nzuri ya uhamasishaji wakati ukiwa CHADEMA, big-up na nakutakia Maisha mema huko uendako.
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk. Wilbroad Slaa wamekuwa wakijinufaisha binafsi Hilo nalo neno. Maneno hayo ya Bwana Nyimbo.
 
Hana lolote huyo amekosa alichokuwa anakitaka ambacho ni ulaji wa fasta fasta.Alikimbia CCM akajua akiwa CDM atarudi tena bungeni akidhani safari ya ukombozi ni nyepesi sasa amejiumbua mwenyewe
 
Kama mambo ndiyo haya, kwa mtu aliyekuja CDM kutoka CCM makmruzuku hadi cheo cha Mlezi wa Chama kwa mikoa kadhaa, Leo amejitoa mnaona kama alikuja kutafuta ubunge, hafai kuwa kiongozi hata kidogo, ni mlafi na kadhalika. Kauli hizi zinasadifu 100% yale aliyosema Nyimbo mwenyewe kuwa CDM hakuna siasa bali kunyenyekewa na ndiyo ameamua kuondoka.
Siasa za namna hii ni hatari kwa ukuaji wa demkrasia nchini maana kuna watu wataamua kuendelea kubaki CDM kisa wakiondoka wataitwa hawafai, matapeli, walafi nk. Tulisikia mengi kuhusu SHIBUDA, MILLYA JAMES alipokuwa CCM aliitwa Fisadi leo anaitwa KAMANDA! Naogopa kuona kundi kubwa la vijana wanenda CHADEMA huku wanaona kabisa wakishaingia huko kutoka hata mazingira yatakaporuhusu watakuwa hawawezi kisa wataitwa majina mabaya. Kama vijana wa Tanzania tuna nia njema na maisha yetu na ustawi wa taifa letu, basi kama CCM imetushinda ni afadhali kukaa bila chama cha siasa maana CDM ni janga. Na kila siku njia kuelekea machafuko wao wanaita mabadiliko inatengenezwa na ufadhili mkubwa uko Marekani na Ujerumani, kumbuka hawa wanatengeneza Silaha, hakuna kwa kuzijaribisha maana hakuna Vita baridi tena.
CDM iogopwe kama ugonjwa hatari hasa linapokuja suala la kujenga chuki miongoni mwa watanzania hasa wasioko CDM!
Namfahamu Tomas Nyimbo tangu akiwa na chama chake cha PONA, nafahamu tabia yake ya umwinyi na kupenda kunyenyekewa, nafahamu hata alivyosababisha ugomvi mkubwa pale shule ya sekondari Wanike akijaribu kuwatetea na kulzimisha kuwabakiza walimu wabakaji wa wanafunzi ambao walifutwa kazi na utumishi, nafahamu alivyokuwa anaendesha siasa za fitina dhidi ya Mangula akiwa CCM na jinsi alivyoadhibiwa kwa utovu wa nidhamu akiwa CCM hukohuko! Nyimbo hafai kabisa na ndio maana ameogopa kurudi CCM aliko tokea.
Wewe una mtetea kwa sababu ya uzushi wako tu dhidi ya CHADEMA. Kama ni ufadhiri kutoka Marekani na Ujerumani, mbona huiulizi serikali yako imayotegemea misaada kwa asilimia 50 kutoka hukohuko Marekani na Ujerumani? Rais Jakaya Kikwete amekwenda mara ngapi Marekani kutembeza bakuli?iweje leo iwe dhambi CHADEMA kupewa ufadhiri na Marekani na Ujerumani? Nakushauri uache siasa za maji taka na uzushi wako dhidi ya CHADEMA.
 
Nyimbo ana matatizo makubwa kadiri ya ushuhuda wako. Ieleweke nafasi na kipindi anachoamua kuachia ngazi wakati uchaguzi wa madiwani ukipamba moto nchini, ni uthibitisho kuwa ni pandikizi lililotaka kutifua mwelekeo wa wapiga kura. Lakini watu hawadanganyikie tena, hii tena imekula kweke.
 
hata hivyo amesha isha. hana jipya tena katika siasa. Kajua hataweza kwenda na speed za siasa za vija wa leo
 
Unajuwa principle ama unaropoka tu.Aliyebanwa ni nani?Asiyekuwa na mfano ama mwenye kutoa reference ya mchangiaji kipuuzi?Mifano ipo mingi,nipe mmoja tu.
Mkuu una kaugonjwa kaliko wapata wana CDM wengi, una subjective reasoning syndrome.

Wale mafisadi wanaoitwa madiwani huko Moshi usiniambie huna habari nao.
Hadi leo hatujasikia tamko la chama chenu.
Ukitaka kufbia macho ufisadi wa CDM its at your own peril.
 
Well done Safi sana Bw. Nyimbo. Dr. Silaa na wengine wako Nyuma yako wanafuata.
 
Bwana nyimbo huenda ana ajenda yake binafsi kwa sababu katika maelezo yake anaonekana kutoa shutuma kwa chadema bila kutoa ushahidi au kutoa maelezo ya ziada kuhusiana na tuhuma hizo kwa mfano;
1.Bwana Nyimbo anadai amejiondoa kwenye chama ati kwa sababu CDM inaenda kinyume na malengo yake,anasahau kutueleza ni malengo yapi CDM imekiuka.
2.Pia anadai viongozi wake si watu wa kushaurika lakini anasahau kutueleza aliwashauri nini na wakakataa.
3.Viongozi h
ususan wa juu wamekuwa wakijinufaisha binafsi but how are they benefiting themselves.
kwa hiyo kutokana na udhaifu huo katika maelezo yake binafsi sijashawishika moja kwa moja kukubali hoja zake labda kama ataelezea hizo tuhuma dhidi ya chadema in details(kwa urefu) na kwa ushahidi.ahsanteni
 
Huyu mzee ni mnafiki sana hapo alitaka kupewa cheo sasa imegonga kwake,sasa turudi nyuma nini kilimfanya kuhamia Chadema mwaka 2010????Sasa mpaka hapo kama utapata jibu hakuna haja ya kuvutana na huyu ndondocha hapo huenda kapewa kitu kidogo na Magamba ili arudi huko alikotoka Chadema lazima sasa wawe makini na watu kama hawa lakini mpaka hapo nimewaamini Chadema na Viongozi wao wa ngazi za juu ambao anawalalamikia watakuwa wamempa wakati mgumu akiwa anataka cheo ndio Viongozi hawa wa juu wakakomaa naye kuwa bado sana hatukuamini bado you just have a few years so u have to wait sasa jamaa kaona Lol hapa hawa jamaa hawadanganyiki,Peoples Power bora kuwa wachache mabao wako strong kuliko kuwa na mijitu kama Thomas Nyimbo ambayo inataka vyeo mnafiki sana
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk. Wilbroad Slaa wamekuwa wakijinufaisha binafsi Hilo nalo neno. Maneno hayo ya Bwana Nyimbo.

sijawahi kuona wala kuskia cha maana alichofanya........aende tuu atupunguzie majoto
 
Views 3077 Replies 172

Walioiona hii thread Ni 3077 lakini waliojibu Ni 172! Kuna Jambo hapa nadhani CDM wengi wamezimia wako Kwenye ambulance wanakimbizwa Hospitali. Mwingine Karibu Maneno Mawili tu. "I doubt" naye kaishia. Mtaishia wengi siku mtakayosikia dr. Bunduki naye kaanza.
 
sijawahi kuona wala kuskia cha maana alichofanya........aende tuu atupunguzie majoto

Mama D. Pole kwa mshituko. Bora wewe umeandika Maneno Mengi kidogo maana mwingine kaishia I doubt na kaishia Sasa sijui kazimia Au la.
 
Mkuu una kaugonjwa kaliko wapata wana CDM wengi, una subjective reasoning syndrome.

Wale mafisadi wanaoitwa madiwani huko Moshi usiniambie huna habari nao.
Hadi leo hatujasikia tamko la chama chenu.
Ukitaka kufbia macho ufisadi wa CDM its at your own peril.
Kwanza mimi sina chama,pili hao unaowaita mafisadi wa Moshi(madiwani),wamefanya ufisadi gani?Yani ndo mfano uliokuja nao huu?Na umesema unayo mifano mingi,nikakwambia taja mmoja,adn this is all you got?Sasa unafahamu matatizo uliyonayo wewe?
 
sijawahi kuona wala kuskia cha maana alichofanya........aende tuu atupunguzie majoto

Mama D. Pole kwa mshituko. Bora wewe umeandika Maneno Mengi kidogo maana mwingine kaishia I doubt na kaishia Sasa sijui kazimia Au la.
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk. Wilbroad Slaa wamekuwa wakijinufaisha binafsi Hilo nalo neno. Maneno hayo ya Bwana Nyimbo.
... Wanajinufashaje? atusaidie kwa kutoa data, otherwise apumzike kwa amani.
 
MADONDOO MUHIMU YA TAARIFA YA MLEZI wa CDM mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya:
KAJITOA JE WEWE UNANGOJA NINI

CDM kinaenda kinyume na malengo yake kama kinavyojipambanua mbele za watu. A.k.a. TUNADANGANYWAU

licha ya kuwaaminisha wananchi, hususani vijana kuwa ndio chama chenye kuleta mabadiliko ya kweli,lakini viongozi wake wa daraja la juu wakiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk. Wilbroad Slaa wamekuwa wakijinufaisha binafsi.WEWE NI MMOJA WAO. ACHA. HAMIA MTANDAO MWINGINE

viongozi CDM wamekuwa si watu wa kushaurika. WAMEKUWA MIUNGU
kibaya zaidi ni kuendesha siasa katika mfumo mbaya wa kushawishi na kuaminisha bila kuwa na suluhisho (Mob Politics). WANA LAO JAMBO

siasa za namna hiyo ni hatari kwa taifa kwa kuwa baada ya kuungwa mkono kwa kiwango cha juu na kundi la vijana kwa imani ya kukombolewa pale watakapofanikiwa kuingia madarakani na kushindwa kuwatimizia kutazua vurugu.HAWAJALI WANACHOTAKA WAO NI MADARAKA TU.TUMEWASTUKIA

Kuhusu CCM.

vijana nchini kupigania maslahi yao kwa mtazamo hasi wenye kuleta mstakabali mzuri wa Taifa, badala ya kufikiri kuwa mabadiliko ni kuiondoa CCM madarakani na kuiweka Chadema.KWELI KABISA

Kujiengua kwa Nyimbo linaweza kuwa ni pigo kubwa kwa Chadema, kwani baada ya kujiunga na chama hicho mwaka 2010, alikuwa ni mlezi wa Chadema kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, huku pia akiwa ni miongoni mwa wanasiasa wenye mvuto na wahamasishaji wazuri wa Chadema katika mkoa mpya wa Njombe. WENGINE HUMU JF WAMEZIMIKA
 
Back
Top Bottom