thl app

thl app

Nilifanya hivyo nikazalisha vitini na kuwauzia watoto. Sijadakwa mpaka sasa.
 
Sitajibu PM ya kukuelekeza kufanya Crack, mimi ni developer pia, na kwa hiyo nafahamu developers wanainvest muda mwingi sana kuandaa project pamoja na kufanya advertisement ya project zao online ili ziweze kuwalipa, sasa kila unapotumia cracked software it means kuna mtu umemkosesha hela halali.
Hilo bwana mkuu halitoweza kufa, kuna hadi blackmart, ni hao hao developers tu mnakinzana wenyewe kwa wenyewe, sie ni watumiaji tu
 
Kú crack ni kúfanya bypass ya malipo kwa software inayo uzwa.
Mfano Windows 10 inauzwa dollar 100.
Je ww umetoa $100 kuinunua??? Na kama hujatoa umefanya nini hadi unaitumia.?? Icho ulicho kifanya ndio Maana Typical ya neno "CRACK"

Hali kadhalika Microsoft office 2013 inauzwa $100 na si ajabu ww unayo kwenye PC yako je umeipata wapi??
Hata gharama zake nilikuwa sizifahamu
 
Haaaaah. Badilisha imei ya simu af tumia namba nyngne uone kama haitokubali. Ni kukosa utaalam tu. Sio kwamba majamaa wamebana ndo maana nasema ni kuheshimu tu kaz ya mtu coz loopholes zao bado ni nyng tu
sasa ubadili imei kisa ka thl tuu hahahahaha ....ukichaa utakua
 
Sitajibu PM ya kukuelekeza kufanya Crack, mimi ni developer pia, na kwa hiyo nafahamu developers wanainvest muda mwingi sana kuandaa project pamoja na kufanya advertisement ya project zao online ili ziweze kuwalipa, sasa kila unapotumia cracked software it means kuna mtu umemkosesha hela halali.
Maisha haya yana tabu sana😂😂😂 ila ni kweli
 
Back
Top Bottom