thl app

thl app

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
Wakuu, nimezoea kuzisikia crack za apps nyingi sana.. Vipi kuhusu thl app..! Kuna ambaye alishaweza kuicrack?
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kui-Crack ila akatiwa Nguvuni.
 
Nimekupata mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa bana Kumbe ulikua huzitambui aisee.. Basi Ata windows au Microsoft Office yako hiyo nnauhakika ni crack
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa bana Kumbe ulikua huzitambui aisee.. Basi Ata windows au Microsoft Office yako hiyo nnauhakika ni crack
Ni crack kutoka wapi au bado sijaelewa maana halisi ya crack
 
Ni crack kutoka wapi au bado sijaelewa maana halisi ya crack
Software zenye kuhitaji license, wataalam wanazifanya yao ziweze kutumika free bila kulipia
 
Ile application yao Hata screenshot inakataa, siku nascreenshot nilidhan Simu yangu ina tatizo kumbe ni wamezuia hicho kitu
Mmh hadi screenshot, nilijua kukopi tu ha ha ha kaazi kweli kweli
Maana mi nilichojaribu ni kufuta directory kufuta history zote na ku unstall ila wapi, ukisha sajili na namba moja kwa device moja imetoka hiyo..

Jamaa ni mafundi [emoji1] [emoji1]
 
Mi mwenyewe nilijisajili kwa namba nyingine baada ya ile ya kwanza kuisha mda wake Wa majaribio, majamaa wamejipanga kweli yan haahaa
 
Ni kuheshimu kazi yao tu. Mbona kuna loopholes nyingi sana kwenye th sio kwamba wanautaalamu sana sema tu hio app iko na watumiaji wa tanzania tu na nchi chache jiran ndomaana hakuna mwenye uwezo wa kucrack. Ila ingekua na watumiaji hadi India thl wangepata tabu sana.

Af kwenye kuregister wao wanatumia IMEI na namba ya simu. Ndo maana hata ukiuninstall af ukainstall tena inakua inakumbuka data zako coz inasoma imei ya cm thn inaangalia kama hio imei iko kwenye database yao ndo process nyngne zinaendelea.
 
Mi mwenyewe nilijisajili kwa namba nyingine baada ya ile ya kwanza kuisha mda wake Wa majaribio, majamaa wamejipanga kweli yan haahaa
Haaaaah. Badilisha imei ya simu af tumia namba nyngne uone kama haitokubali. Ni kukosa utaalam tu. Sio kwamba majamaa wamebana ndo maana nasema ni kuheshimu tu kaz ya mtu coz loopholes zao bado ni nyng tu
 
Back
Top Bottom