thl app

thl app

Ni kuheshimu kazi yao tu. Mbona kuna loopholes nyingi sana kwenye th sio kwamba wanautaalamu sana sema tu hio app iko na watumiaji wa tanzania tu na nchi chache jiran ndomaana hakuna mwenye uwezo wa kucrack. Ila ingekua na watumiaji hadi India thl wangepata tabu sana.

Af kwenye kuregister wao wanatumia IMEI na namba ya simu. Ndo maana hata ukiuninstall af ukainstall tena inakua inakumbuka data zako coz inasoma imei ya cm thn inaangalia kama hio imei iko kwenye database yao ndo process nyngne zinaendelea.
Vipi kwenye pc? Inatumia ip address au!!
Na VPN ilishindwa kunipa access kabisa
 
K

KwKwa pc sijafanyia research ila kwa kufikiria harakaharaka haiwez kua ip address coz ip inabadilika baada ya mda fln. Ni ip ya router tu ambayo ni static ip yaan haibadiliki badiliki. Kwa pc nadhan wanatumia network card MAC address coz hio network card number hua haibadiliki.
 
Ni crack kutoka wapi au bado sijaelewa maana halisi ya crack
Kú crack ni kúfanya bypass ya malipo kwa software inayo uzwa.
Mfano Windows 10 inauzwa dollar 100.
Je ww umetoa $100 kuinunua??? Na kama hujatoa umefanya nini hadi unaitumia.?? Icho ulicho kifanya ndio Maana Typical ya neno "CRACK"

Hali kadhalika Microsoft office 2013 inauzwa $100 na si ajabu ww unayo kwenye PC yako je umeipata wapi??
 
Nice explanation... [emoji4] Hasipo elewa na hapo ndo basi tena
 
Sidhani kama wanasecruity kubwa hivyo isipokuwa tu watu hawajataka kuicrack au sio popular kivile watu wameweza kucrack TUNNEL GURU,YOUR FREEDOM VPN,MICROSOFT WORD,FIFA na software nyingine kubwa tu zimekuwa cracked sembuse haka kaushuzi THL
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi sijaiona mkuu,, maana pia kuna mkuu mmoja kasema kuna mtu alijaribu wakamdaka
 
Ee kwanini?
App pamoja na website yake hazina mpangilio na mwonekano mzuri "GUI", software yake ya PC imetengenezwa kwa muundo wa browser, kwa hivyo unapofungua unakuwa kama una_browse kwa browser yoyote unayoifahamu like chrome, IE, opera nk, system yao ni rahisi sana kuwa hacked, pia app haijawa coded from scratch wametumia software ambayo unacopy content then unapaste baada ya hapo unabonyeza build app (naomba nisiitaje hapa hiyo software iliyotumika), na ndio maana kwa kuwa developer hajafanya codes from scratch, kila wanapotoa version mpya wanasisitiza ku_uninstall version ya zamani, otherwise zitakuwepo version mbili kwenye simu yako, so hiyo inaonyesha kila version wanayotoa wanafanya rebuild kwenye software hiyo ambayo wametumia kutengeneza app, so hicho ni kitu ambacho kinapelekea kuwa na package id tofauti ambazo ndio unique number zinazo tofautisha app moja na nyingine, so utakuta ukiinstall old version, unapokuja install new version utaona versions zote mbili zinabaki kwenye simu yako badala ya version ya kwanza kuwa replaced na version ya pili, so hiyo inaonyesha kila wanapo ongeza baadhi ya content wana_rebuild app, na package Id ya app inabadilika, so hiyo inafanya ionekane kama app tofauti na ya kwanza.... pia unaweza extract hiyo PC version kwa kutumia CMD na kufanya some editing. na kwa android version yake unaweza ifanyia extraction kwa kubadili apk extension to (....) then uta_extract nakufanya any kind of modification kwa kutumia android studio...naomba nisieleze zaidi how to crack it............ kwa kuwa naamini cracks ndizo hufanya developers wengi wasiwe madon mjini.........NB: USINUNUE CRACKED APP UNAUMIZA UCHUMI WA DEVELOPERS.
 
Ha ha "usinunue cracked app unaumiza uchumi wa developers"

Sasa ku uchumi wa ki tz huu inabidi mkuu
Wacha nijaribu, nikishindwa pm itahusika
 
Software gani hiyo mkuu
 
Ha ha "usinunue cracked app unaumiza uchumi wa developers"

Sasa ku uchumi wa ki tz huu inabidi mkuu
Wacha nijaribu, nikishindwa pm itahusika
Sitajibu PM ya kukuelekeza kufanya Crack, mimi ni developer pia, na kwa hiyo nafahamu developers wanainvest muda mwingi sana kuandaa project pamoja na kufanya advertisement ya project zao online ili ziweze kuwalipa, sasa kila unapotumia cracked software it means kuna mtu umemkosesha hela halali.
 
Back
Top Bottom