Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,841
- 831,094
Nyimbo za mapenzi zinabeba dhima kubwa sana katika suala zima la mapenzi, nyimbo za mapenzi hutufanya tufurahi au kuhuzunika tukikumbuka mambo fulani ya wapenzj wetu kwakuwa wakati huo zikipigwa ndio tukio husika lilitokea
wengine hukumbuka siku ya ndoa, siku ya kukutana kwa mara ya kwanza,.siku mlipogombana almradi tu hutukumbusha jambo fulani wakati fulani mahali fulani ukiwa na fulani
Bongo fleva ina nyimbo nyingi za mapenzi lakini pia zipo za mataifa ya nje hebu kila mmoja wetu ajikumbushe wimbo/nyimbo zozote za mapenzi ambao/ambazo akizisikia leo hurufahi au kuhuzunika
kwa wale wazee wa miaka ya 80 na 90 mnazikumbuka nyimbo za
MC HAMMER-Ice ice baby, have you seen her nk nk?
JUDY BOUCHER?
Whitney HAUSTON- All at once, bellieve, xhale, nk
Am gonna mic u na nyingine nyiingi!