This week around the world

Baadae si aliuwa na hao viboko....kujifanya anaenda destination ya pili via migongo ya wengine.

Wauh! kumbe ndiye huyo huyo ..aliyekuja kuuwawa ...Ok lakini ...alizidisha udhubutu..I know .. udhubutu ni muhimu ..lakini ukizidi ..? !! Hata kwa binaadamu ... Inpelekea madhara..!!
 
huyo mamba hana tofauti na magamba..........ndio maana ana magamba.....ni tabia za kimagamba....
Ila picha ni nzuri.......thanks Afro.....

Kweli preta, Na Magamba ...siwalidai wanaudhubutu wa kuvuka ngambo ya pili...Kama huyo mamba wa magamba kwenye picha... Lakini waaaapi ..Si umeona ..alidakwa juu juu ... KAMA ...Hawa magamba wetu.. walikuwa hawajui viboko nini ..Sasa wamejivua basi..????!! wamedakwa juu juu!!
 
Hii nimeipenda zaidi, inankumbusha nikiwa Monduli miaka hiyo.

Asante kwa picha Afrodenzi, zote nzuri.

Manda...?

If that is the case ...tulikuwa pamoja... Afrodenzi hataamini ..lakini Hivyo Vifaru ..tulivivurumishaaaa ..hadi we qualified!!
 
Manda...?<br />
<br />
If that is the case ...tulikuwa pamoja... Afrodenzi hataamini ..lakini Hivyo Vifaru ..tulivivurumishaaaa ..hadi we qualified!!

Dahhhh
Mi nnakuamini sana..
Na hongera sana duhh..
life time experience I guess ..
 
3075222.jpg
The crocod









ile is killed in the attack. Tanzania



he wamekasirika tena khaaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom