Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Baadae si aliuwa na hao viboko....kujifanya anaenda destination ya pili via migongo ya wengine.
huyo mamba hana tofauti na magamba..........ndio maana ana magamba.....ni tabia za kimagamba....
Ila picha ni nzuri.......thanks Afro.....

