THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

Eti unamwambia "I want to marry you", seriously???? SMH.

Huna swagga mdogo wangu, jipange upya.
 
chezea mie weye...

hapana chezea wew fanya juhudi bana kuwa na mpenzi ni muhimu mdogo wangu tena muhimu sana japokuwa sio lazima kwaio kama wanaleta za kuleta piga chini wew piga shule
NB: jipange bana ktk kutafuta mwenza sio unaleta swaga za kitoto wew ni msomi
 
poah csta,bt f u can,plz elp
 
huhuhuhuuuu u make me happy wangu huo ni ukweli mchungu afu mwanaume halalamiki bana yan bado kijana mdogo unalalamiiiika sijui nini na nin huo sip mpango ebana LUGANO eee fuata ushauri wa dada hapo juu
 
poa ,bt chek inbox nimeku pm!
 
unapoandika hii thread..........hapo kwenye wallet una sh ngapi.......?.....tuanzie hapo.........

huhuhuuuu preta ujue niko nakunywa chai jaman hadi nimepaliwa loo!!! Wallet haisomi huyo dogo
 
Kama snowhite alivyokushauri hapo no 10 dogo kwenda chuo ni kwa ajili ya kivunja hiyo bikra ya akili. Miaka hiyo uliozaliwa tulikuwa shuleni zamani na wakubwa ambao fikra za mademu zilikuwepo lakini katika nafasi finyu mno ndio maana tuko na mama zako wadogo sasa nakushauri piga shule maliza hicho chuo sijui chuo gani maana siku hizi hata kindergatten kinaitwa chuo. Enzi zetu ukisikia niko chuo ujue chuo kikuu tena UDSM.piga shule vunja bikra ya akili pata ajira anza hayo makeke unayoyafikiria..
 
Kama snowhite alivyokushauri hapo no 10 dogo kwenda chuo ni kwa ajili ya kivunja hiyo bikra ya akili. Miaka hiyo uliozaliwa tulikuwa shuleni zamani na wakubwa ambao fikra za mademu zilikuwepo lakini katika nafasi finyu mno ndio maana tuko na mama zako wadogo sasa nakushauri piga shule maliza hicho chuo sijui chuo gani maana siku hizi hata kindergatten kinaitwa chuo. Enzi zetu ukisikia niko chuo ujue chuo kikuu tena UDSM.piga shule vunja bikra ya akili pata ajira anza hayo makeke unayoyafikiria..utawapata wengi tu mbaka utawakimbia
 
poah,kaka nishaanza kujpanga.

Halafu kitu kingine, usikimbilie wanawake wazuri, tafuta mwanamke wa kawaida saaaana, wanakuaga easy, especially hao wa huko chuo n im sure hatokua na tatizo na hizo swagga zako

Ukishapiga, ukajifunza mambo, ndo unaanza kuupgrade sasa.
 
poa kaka,bt ninasoma chuo .......'SECONDARY ADVANCED OF HIGH SCHOOLS or SCHOOL OF ASSIGNMENT
 
Halafu kitu kingine, usikimbilie wanawake wazuri, tafuta mwanamke wa kawaida saaaana, wanakuaga easy, especially hao wa huko chuo n im sure hatokua na tatizo na hizo swagga zako

Ukishapiga, ukajifunza mambo, ndo unaanza kuupgrade sasa.

its okay kaka..
 
Mmmm hebu weka picha yako kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…