sio silipi,i am very handsome kaka,and very bright
ure handsome but not lovely, not attractive , not sweety.... in general may be ure not hot at all that why wanakukataa
weka pichasio silipi,i am very handsome kaka
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
Kama kweli uko bright basi zingatia masomo mambo ya wasichana yatakuja baadae. Kwani una plan yakuoa next year? Pia zingatia kuwa ukimwi upo na unakatisha ndoto za vijana wengi. Hata ukimpata kupima ni muhimu hata kama atakuambia yuko virgin kwani mabint wanazaliwa na HIV na wanakua nao hata kufikia level ya chuo kikuu. Ukiwa na sikio naamini utasikia! All the best!
Dogo kwanza kwa nini unataka kubikiriwa? Kwa nini unadhani ni lazima uwe na msichana?? Nani kakwambia hivyo??
bold: CL kaa chonjo wasije kukukamata
have ever asked yourself about this
" WHY ALWAYS NOT ME?" or "WHY OTHERS ALWAYS?"
Soma kijana, muda haurudi, wasichana wapo tu, utawakimbia mwenyewe.
Nyege zinamsumbua
Lol
weka picha
so,what method can i use to obey all those?
Dogo kwanza kwa nini unataka kubikiriwa? Kwa nini unadhani ni lazima uwe na msichana?? Nani kakwambia hivyo??
ni pm,nitaku2mia
sio nyege
look for a girl of ure type that all..... but now look for someone to remove ure virginity then akili itachangamka sawa..
thanks my brother,nimekuelewa.
so wahat push you to have a girl please?
Nashukuru kama umenielewa. Kila la kheri. Ila mimi ni sister siyo brother.