simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Rais Uhuru alisema wananchi wa EAC wanafanya biashara kila mara na kila kona lakini viongozi wa nchi hizo wako katika usingizi mzito kwa kuweka vikwazo vya hapa na pale. Thank Uhuru kwa kuliona hili Tunawaombea Mungu mufute mipaka ya ukoloni.