Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Duuuh kweli utawala wa Magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi
Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za hivi karibuni
Nimetumia takribani masaa 17 kutoka Moro kwenda Mwanza
Safari inachosha sana na ukifika kwenye Zebra hata kama hakuna mtu anavuka simama atleast Dk 1 au sekunde kadhaa then endelea kukanyaga mafuta
Madereva wa mabasi wamepewa masharti watembee speed 50 mpaka 80 ukizidisha fine au uwe umetoa rushwa.
Yani MTU anatoka DSM kwenda Washington kwa ndege kama Boeing au Airbus anawahi kufika lakini wewe wa kutoka Daslam au Moro kwenda Mwanza bado tu unahangaika na siti yako
Bora kupanda pangaboi walahi nasema.