This is so embarassing

Nimesoma uzi wako mpaka uliposema WASOMI KISHA UKAUNGANISHA NA KIINGEREZA KILICHONYOOKA, nimetambua kuwa kwako usomi ni kiingereza kilichonyooka!
 
Nimesoma uzi wako mpaka uliposema WASOMI KISHA UKAUNGANISHA NA KIINGEREZA KILICHONYOOKA, nimetambua kuwa kwako usomi ni kiingereza kilichonyooka!
Ndio, maana kama ni msomi haswa ( sio msomi jina ) utakua unasoma vitu vyenye kukukenga kiakili na fikra, vitu kama habari, vitabu, magazeti na makala mbali mbali. Ambazo zitakupa changamoto ya kujifunza lugha, sasa ukiwa na huo utamaduni, ukifanya ivyo kwa mda mfupi tu, at miezi 6. Lazima tofauti ionekane
 
What a psychc! Dont xpect people to do what you think. Everyone got their way of complementing. Ghosh
 
What a psychc! Dont xpect people to do what you think. Everyone got their way of complementing. Ghosh
Yeah, I can't see what is going on in your brains. Buy they way you comment, says it all, that you are stupid. It helps me to dissect you and get a clear picture of how and what you think
 
Yeah, I can't see what is going on in your brains. Buy they way you comment, says it all, that you are stupid. It helps me to dissect you and get a clear picture of how and what you think
Are you paid to do this sh*t? Cause I swear, you aint gonna get away with it. Will nail you down like Jews did Jesus.
 
And you are among those...!
Please refer the meaning of stupidity according to Joseph Mbilinyi in the parliament..!
 
And you are among those...!
Please refer the meaning of stupidity according to Joseph Mbilinyi in the parliament..!
I am a scholar, I don't use or refer to peoples like him to reinforce my arguments simply because, Joseph mbilinyi is not an authority or a reliable and credible source
 
Reactions: kui
Na wewe unawapotosha watu..unataka wale ambao si wa chuo kikuu cha Dar wajione wote wapo vizuri au mahiri...hii ni changamoto imetolewa kwa wasomi wote kwa hiyo wahamasishe watu watafakari na kuchukua hatua.

Nimekutana na wanafunzi wengi sana wa U/Dar yaani wana kiingereza kichafu mno....mtu kuji-express anashindwa lakini anaona ujiko kuongea kiingereza kilichojaa super glue (yaani kibovu na cha kuunganisha).
 
Hahaha eti kilichojaa super glue, umenifurahidha sana.

Watu wanaona ufahari kujua kiingereza kile informal cha kuchat kupitia sms, miksa code mixing, lakini sio lugha rasmi
 
nmesoma robo tu nkaona huu uzi hauna maana English mnaishklia kama ndio inalsha mtu au ndio inamtafutia mtu hela embu achen upumbavu kabsa
 
kajifunze kiswahili kwanza ndio uje uongee lugha za wengine
 
nmesoma robo tu nkaona huu uzi hauna maana English mnaishklia kama ndio inalsha mtu au ndio inamtafutia mtu hela embu achen upumbavu kabsa
Pole sana kwa mtazamo funyi wa maisha. Ila mtazamo wa mtu ( kama huo ulionao ) aidha mzuri au mbaya, unatokana na:-
1. Uwezo wako wa kufikiri
2. Jamii iliyokuzunguka
3. Marafiki zako na familia uliyotokea
4. Kiwango cha elimu na shule mbalimbali ulizopitia

Hayo ndo mazingira ambayo aidha humpa mtu changamoto za kujifunza au humpumbaza mtu
 
Reactions: kui
katika hizo sentensi zote nini faida ya English hapo??
 
Hahaha eti kilichojaa super glue, umenifurahidha sana.

Watu wanaona ufahari kujua kiingereza kile informal cha kuchat kupitia sms, miksa code mixing, lakini sio lugha rasmi

Ni ujinga na ndiyo maana wasomi wanaita hiyo kasumba "Mental slavery."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…