Panzermeyer
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 471
- 325
Morning everyone. Hope all is well with you
Naskitika sana kuona vijana wasomi wa vyuo vikuu hawawezi hata kujieleza au kuongea kiingereza kilichonyooka. Na hii inatoka na mtindo wa maisha ( life style) zao. Unakuta mtu anafatilia cheap materials mda wote. Yaani vipindi anavyofatilia au magazines anazosoma hazimjengi hata kidogo.
Matokeo yake sasa, akiandika status kama ni Facebook au WhatsApp yaani ni mvurugano tu wa tense na grammar. Wakati mwingine unashindwa hata kuelewa alikua anamaana gani.
Jamani maisha ni malengo na hayaishii kwenye kutaka kua na kazi nzuri tu, kua na uwezo wa kutunza familia nk, hapana. Msomi inabidi uwe na uwezo wa kuongea lugha nzuri ( formal language) ukipewa nafasi kama ni kwenye interview, kazini, chombo cha habari nk. Hauwezi fahamu lugha rasmi kama haufatilii vitu vya msingi kama, international news, reading newspapers, reading novels, watch documentaries nk. Ukiendelea kufatilia vi-drama series trust me, you will get no where with your career.
Na nnaomba nieleweke vzur, maisha sio vita. Simaanishi kua tuwe tunasoma habari mda wote, tuwe tunasoma magezeti mda wote hapana, namaanisha tuwe na mda wa entertainment, kufatilia izo drama, cartoons nk, lakini pia tuwe na mda wa kufatilia vitu vya msingi.
Bahati mbaya sana ni kwamba, entertainments in most cases zinatumia informal languages ambazo hazikujengi kujifunza formal language. Sasa informal language hauwez kuitumia kwenye mazingira maalumu. Kuna faida nyingi sana za kujua formal language. Mfano, itakusaidia kupata ufahamu wa mambo ya msingi ( it will increase your knowledge ) kwasababu informal language inatumika kwenye mambo ya msingi kama habari, magazetini, vipindi maalumu nk
Ukijua formal language, unaweza shangaa unapata kazi na kuwaacha hata wale wenye GPA kubwaaa nk. Unaweza pewa kazi ya kuandika report au chochote tu kwenye mazingira ya kazi alfu ukashangaa kutoka a na uhandishi wako mzuri ukapanda cheo, au ukapata faida flani ivi kutokana na utendaji wako mzuri wa kazi. Ukiwa masomi inabidi uwe na malengo ya kuweza kutetea usomi wako, kuidhihirishia jamii kua wewe ni mtu unayeishi kuendana na matukio yote na mabadiriko ya dunia.
In the end, we are what we feed ourselves with. Ukiwa mfatiliaji wa cheap materials basi eventually utakua na cheap ideas, lugha yako, unavhojieleza na mitazamo yako kwenye mambo mbali mbali itashuhudia yote ayo, na ukiwekwa na mtu anayefatilia mambo ya msingi, truth be told tofauti yenu itaonekana bira kipingamizi.
Nawatakia asubuhi njema