This is real funny!!

This is real funny!!

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,210
Hehee, technolojia inatupeleka mbali sana. Click hiyo link halafu kwenye video itakayotokea, fanya jaribio la kumgusa puani huyo jamaa kwa kutumia cursor yako.
http://www.selfcontrolfreak.com/slaan.html[video]http://www.selfcontrolfreak.com/slaan.html[/video]
 
Hahaha funny indeed...ila mpk sa hz naumiza kichwa kuelewa wametengenezaje hii kitu, hii si mchezo.
 
Hahaha funny indeed...ila mpk sa hz naumiza kichwa kuelewa wametengenezaje hii kitu, hii si mchezo.
Hehee, kuna watu hawana kazi nyingine zaidi ya hii ya kucheza na komputer. Mimi nilistrugle kabisa kutafuta namna ya kusogeza cursor kwenye uso nikashindwa kabisa.
 
Back
Top Bottom