Amani kwenu wadau!
Nimejikuta nikiwaza hapa,inakuaje watu mnakutana mkiwa watu wazima,kila mmoja akiwa na historia yake ya maisha,alafu mkianza mahusiano ya mapenzi,kila mmoja anataka amdhibiti mwenzake,kuanzia marafiki mpaka maisha binafsi...ukivutiwa na mtu mwingine,shida...is this fair?