This is my future house...Whats yours?

Kwenye main floor plan sijaona sababu ya breakfast corner hapo kwenye family room. Kitchen ni kubwa ya kutosha na plan ni kuwa na jiko kati so breakfast can be done there. Hapo nawaza kusave space for the kitchen and the master bedroom.

Sijaona laundry room,kwa ajili ya washing and ironing.

Hebu nisaidie tafauti na kazi za family room na living room kwanza.

Ila big up, work hard and chase this dream. It is very possible. Bila ndoto ya kuanzia hela zikikufumania lazma ufanye ushamba!

Sijataka iwe na laundry room kwa ndani kwa sababu laundry room nataka iwe kwa nje...and as i said before mie napenda nyumba kubwa...sipendi nyumba ya kujibana bana kama kibanda cha kuku.
 
Mwisho wa siku utalala chumba kimoja tuu na mkeo,Vingine havitakuwa na kazi:flypig:

You are right mkuu...but mie huwa na-enjoy kuishi kwenye nyumba kubwa...sipendi kuishi kwenye nyumba ya kujibana bana kama tenga la nyanya
 
Haaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaa that's great, seems that you are a man of actions.Good gracious!!!!! hivo ndo inavyotakiwa mwanaume kuwa,congrats broooo and all the best.

Thank you Blue G
 
Last edited by a moderator:
Akili ni nywele kila mtu anazake. Kama hizi ni akili zako na kweli umeagiza ramani toka USA naomba nikushangae tu nisikupe hongera wala kukulaumu maana sijui chanza cha mapato yako. Ingekuwa hiyo avator ndoo sura yako halisi, ningeuliza swali la kizee kwa kizungu, At your age, where did you got that kind of money? Otherwise I'm meant to understand that you are real "young master" doing 419 business. Goodluck
 
Thanks mkuu...Let me remind you that "Whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve."
 
Akili ni nywele kila mtu anazake. Kama hizi ni akili zako na kweli umeagiza ramani toka USA naomba nikushangae tu nisikupe hongera wala kukulaumu maana sijui chanza cha mapato yako. Ingekuwa hiyo avator ndoo sura yako halisi, ningeuliza swali la kizee kwa kizungu, At your age, where did you got that kind of money? Otherwise I'm meant to understand that you are real "young master" doing 419 business. Goodluck
sio utani, namshauri aagize hata kiwanja maana viwanja vyetu hapa bongo sio vizuri anacha na vile visivyopimwa
 
Noja nijaribu haka......maana tatizo wakati wengine tunahitaji pa kulala wengine mwatafuta pakuishi

kerala-home-design-thumb.jpg
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom