This is my future house...Whats yours?

Andaa si chini ya billion moja.
hapo kijana ana ndoto za kuwa mbunge, the waziri ili aibe; akishindwa hilo ataanzisha kanisa lake na kuwa na Nyumba kama ile ya Getrude Rwakatare. Akishindwa yote hayo atakuwa frustrated na kuishia kwenye mitungi 24/7!!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Young Master thx kwa kunipa ramani, nitaiba ofisini mpaka kieleweke.

ha ha ha haaa!!! kama ukiweza kuichakachua na ikawa exactly as construction plan then nitakupa bonge la respect...Mie sio mjinga hadi nianike ramani hapa.
 
Back
Top Bottom