Hebu nisaidie tafauti na kazi za family room na living room kwanza.
Ndio maana nikasisitizia......ila hujaweka GUEST wing tukija Arusha tufikiziemo
Even if but still i can stand on my own thinking! Safari_ni_Safari
oh!maaama![TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
MAIN LEVEL FLOOR PLAN
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
UPPER LEVEL FLOOR PLAN
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
FIRST FRONTAL ELEVATION IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
SECOND FRONTAL ELEVATION IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
REAR ELEVATION IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
ADDITIONAL IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
ADDITIONAL IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
ADDITIONAL IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD]
ADDITIONAL IMAGE
<center></center>[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Wooow,kiukwelinyumba inavutia ila sasa gharama zinaweza kukuktoa knock out,maanake hapo mabiloni yanahitajika angalia usje ukajiunga freemasons kuachive dream yako ya kuown such a house.No Young Master that's just a joke and a little challenge,penye nia pana njia,keep it up, upgrde your efforts an finally your dream will come true.
Thank you br.......together!Am so sorry....I just wanted to alert the guy.......I still feel for you
nikikuambia King'asti hapa nilipo huwa navaa nguo zangu nilizokuwa navaa nikiwa form 6. na nina watoto 3 sasa. kwa hiyo labda hiyo nguo itapitwa na fashion tuna miili yetu hii ya kiswahili, halikawii kukuruka kabla ya siku yenyewe. Lipia na gym kabisaaa
ha ha haaaaa!!! Ili unichakachulie nyumba yangu...??? Labda kama nikiwa usingizini ndio nitakupa usisimamie.
kuna nyumba ya ziada nitaijenga ndani ya eneo langu ambayo itatumika kwa ajili ya wageni
hongera
guest house?
nyumba kaka nyumba!imenitoa roho mimi!nikilinganisha na haka kakibanda kangu huku mwananyamala kwa bi nyau(muulize The Boss anakujua)
Jumba zuri sana, ila una changamoto moja - features nyingi kwa mazingira ya Bongo haziko realistic kwa sababu utahitaji madrill kuzuia wezi. Ukiweka wazi hivyo kila siku wezi watakuwa wageni wako...
ha ha ha haaaaa!!! Usijali mkuu...ipo siku na wewe utakuja kuwa na nyumba nzuri kuliko hata hii...cha msingi ni kujipanga na kuweka malengo.